Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,361
- 26,929
hongera dada yangu kwa kupata mtu wa kugegedana naye kihalali, kelele za wasio kupenda achana nazo, kDuh inaonyesha Roho inakuuma mkuu,pole weee
imevunjika, lakini hata biblia inatambua hilo, bora kuishi peke yako kwa amani kuliko wawili kila siku chukiKuna taarifa zisizo rasmi kua ndoa yenyewe iliyeyuka (ilikua ndoa hewa?).
mme ni daawa?hongera July, umepata 'dawa' sasa na uwe mke mtulivu...ok?
Be a gentle nigga..kwan ukipita lazima uchonge?wanaume wa dar mna mambo sanaHongera Juliana Shonza...kumbe ndo maana kelele zimepungua ee...Halafu mmmmh!!! mbona hujaniaga,? by the way tangu mwaka 2011 pale hall five...nimekumiss mwe.!! Nenda salama July jamaa namfahamu ni mpole sana..! Ngoja nikatoe umbea kwa Amin kwamba... July kimenuka 'siyo msela tena' hivyo tupite mbaliiiiii! au..................
Mwigulu Nchemba upooo???[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][h=5]Juliana Shonza
[/h]2 hrs ·
"Thanks Lord,is now official,a lovely wife to be of Geo david.
I adore you."
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Yule jamaa wake juliana, wa A-Level walikuwa naye CASFETA naomba msimtaje hapa, yupo Moshi anafanya CRDB, nimesema msimtaje maana siku Juliana Shonza akienda huko mume mpya atakuwa na wasiwasi, jamaa yupo crdb pale kahawa housefukua makaburi
mbona muoaji mwenyewe anaonekana mdogo kiumri ukilinganisha na muolewaji mtarajiwa........au ndiyo mambo ya ndoa haina uzee...............?????
mwigulu ni mlokole mwenzake, hakuwa na mahusiano nayeMwigulu Nchemba upooo???
Kuna taarifa zisizo rasmi kua ndoa yenyewe iliyeyuka (ilikua ndoa hewa?).
Achana na huyo njoo kwangu.Huyu bwanake kanisumbua sana ila kazaa nae mtoto wa kwanza nilimuuliza abt mtoto wa pili akawa hatoi ushirikiano
Sent from my iPhone using JamiiForums
NDOA YA DADA JULY LINI?
Kigwangala yuko kwenye maandalizi ya shughuli hio. Vuta subira utaalikwa.NDOA YA DADA JULY LINI?
Nani kugharamia honey moon huko Burigi Chato?
We Mzee bhana....Du!, asante kwa taarifa hii, japo imenikata maini maana...
Basi tuzidi kumuombea, na mumewe pia apate posti ya ubalozini...
Hongera sana mrs fulani!.
P.
Mambo ya kuitana Wazee ni kuzibiana na kutaka ku rostishana!, we are all human na tuna weaknesses zetu, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, angalia watu tulianza kuwapigania liniWe Mzee bhana....
Hakiyanani namuonea huruma huyu Jamaa,aise pole sana mkuu kwa kuingizwa mkenge
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hakiyanani namuonea huruma huyu Jamaa,aise pole sana mkuu kwa kuingizwa mkenge