Juliana Shonza Achumbiwa...

Juliana Shonza Achumbiwa...

akae miaka minne halafu akosoe ndoa za wengine kama zamani
 
Haya ndo mambo ya maana, siyo kila siku OOOOhhh DR. Kala makande wiki nzima mara CDM imekufanyika kitu mbaya!!!

Cha msingi sasa UTULIE - fanya faster faster jamaa akuoe kabisa, maana vijana wa siku hizi anaweza kukuvalisha pete then akachepuka na kushindwa kurudi njia kuu!!

HONGERA !! Tukumbukane kadi za michango!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom