Jukwaa zuri hili..!

Ulikuwa serious au unapima upepo? No pm wala prime minister


Niko serious. Ila tafadhali epuka kuleta matokeo ya PM hapa maana huko ni faraghani kama jina lenyewe linavyoelekeza. Kama una maswali zaidi yatume PM utajibiwa.
 
Ukweli unayokazi licha kusema utajibu maswali yote sidhani kwa kuwa waliojaa humu ni tineja na vermpires pole safari njema.
 
Niko serious. Ila tafadhali epuka kuleta matokeo ya PM hapa maana huko ni faraghani kama jina lenyewe linavyoelekeza. Kama una maswali zaidi yatume PM utajibiwa.

Ni kosa kwa sheria na kanuni za JF kuanika mawasiliano ya pm hadharani, adhabu yake ni ban isiyopunguwa miezi mitatu.
 
Mwanamke mwenye vigezo kama hv asijisumbue kutafuta mchumba maana atapata wa kumgegeda tu!

Maanayake kama kgegedwa tu kachoka sio kuwa wakumgegeda hawapo isipokuwa wanaky name kumwacha hivyo anataka wa kumweka kwapani.
 
Its sad kuona at 42 uko lonely. Ila maisha huwa yanatafautiana. Kweli life inaanza at 40. Wale wote wenye pesa za ukweli wako 40s and above. Na hao ndio wanamake decision na wanarun the economy. Mfano: mengi. Sasa mengi akisema anataka mdada watajaa pm ama sio?
Mwanaume aliyesoma na mwenye kipato hata sumbua atakuwa mwelewa na kujiheshimu. Huyu anataka mtu wa kumliwaza, kucheka, kufurahi, utani kama vile alivyokuwa 26. Tumeelewana. Unavigezo tuma pm.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Ukweli unayokazi licha kusema utajibu maswali yote sidhani kwa kuwa waliojaa humu ni tineja na vermpires pole safari njema.

Nashukuru kwa angalizo. Atafutaye hachoki!
 
Huenda ukainuka ukaokota.mama hongera jipe moyo mwenyewe.
 
Nahisi wahusika wameshapata ujumbe. Wamebaki waleta vichekesho na watoa kejeli. Hivi mnaishi ulimwengu wa wapi? Life starts at 40!

where were you before 40s, i dout will you love and comfort me at this tenderly age?
 
Tupe feedback basi..unaendeleaje.?
Pole kwa kujaziwa kejeli kwenye thread yako!
 
Mmh hapa hapawezekani, huwezi kumpata huyo unayemtaka, labda upunguze sifa/vigezo ulivyovitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…