...nilikua napita tu kule.....
....hata katika game mtizamaji huwa na presha kuliko mchezaji...
U know.
...really....!? em chukulia mazingira ya mpiga chabo.!!
....umewah tizama ....ex..
Sorry if i might b rude.
Sijawahi kuwa na presha kwenye mambo kama hayo....aisee....washabikia timu gani kati ya Simba na Yanga...
Whichever side that u r... em niambie presha unayokua nayo endapo timu uipendayo imelala ...
Wafkiri presha unayokua nayo yafanana na wachezaji..!!??
Sijawahi kuwa na presha kwenye mambo kama hayo.
...really....!? em chukulia mazingira ya mpiga chabo.!!