..... Jukwaa la siasa lime ni stress...

Ndiyo maana kukawa na kitu kinaitwa elimu... Yaani ni kumbadilisha fikara zake,kumpa uelewa na ufahamu mpya,na kumfanya aweze kujitegemea kwa mikono yake,akili zake,na nguvu zake...

Pls do it Lizzy!
Alafu nikishawabadilisha waume zao waje kunitembezea kichapo? Maana sio pande zote zitafurahia hayo mabadiliko.
 
Presha za kujitafutia hizo, huko ukienda lazima uwe umejipanga!
 
Alafu nikishawabadilisha waume zao waje kunitembezea kichapo? Maana sio pande zote zitafurahia hayo mabadiliko.

Lakini kama unaamini katika jambo,na uache kuwashirikisha wengine,wakati huna jukwaa zaidi ya lile la fasihi simulizi,kwa nini usifanye...

Usifikirie outcome zake.. hata kama imebidi ufifikirie hadhira na jinsi itakavyopokea...

Just be positive...
 
Heheheh. . .
GeeCee hapa tu nilipo kuna mtu nampa darasa. . .hayo mengine ni mbwembwe tu. Alafu uzuri naona darasa lishaanza kumuingia. . .I'm so proud.
 
Heheheh. . .
GeeCee hapa tu nilipo kuna mtu nampa darasa. . .hayo mengine ni mbwembwe tu. Alafu uzuri naona darasa lishaanza kumuingia. . .I'm so proud.

Poa..

I like that.. Fanya na hiyo ya kitabu pia..
 
...najutia enda kule leo.... Im so frustrated...na BP yangu ipo juu naw...
Nisaidieni wana Chit chat..

kule ukienda just be neutral!ukienda na ushabiki wako utalia,kama cdm kina rejao,ritz lazima wakutoe mapovu,kama we ccm kina pakajimmy,mungi lazima wakubananishe ktk kona!ugali moto mboga moto!
 
Back
Top Bottom