..... Jukwaa la siasa lime ni stress...

......kwahyo wewe ni "stress free person"....
Unakua na presha ktk mambo yepi?.....

Possibly. . .
Labda mambo yanayonihusu moja kwa moja, japo hata huko sidhani kama nimewahi kupata presha nnayoweza kuiita presha.
 
Hehehehehe ahsante. Missed you too.

Juzi nlikua nafikiria kutafuta muda nikae niandike maana sijaandika muda kweli. Embu kua my inspiration basi Geecee. . .

Will do that...

Wajua ninii... Kitabu kinataka lots of hours ndiyo tatizo.. Yaani kutwa nzima ama unapopata idea unaanza hadi unapochoka,ndipo uache...

Anyway,je,utaniweka kwenye dibaji yake?
 
Inspiration is much more important aisee. . .I can make time but I can't write unless i'm inspired. Ngoja nikanywe mbege kesho labda ntapata kitu. . .Lolz

heheheh why not? Kwanza kwakunikumbusha kumbusha tu kila mara kuna tosha kunifanya ni-acknowledge msaada wako.
 
Ndiyo Lizzy...

Ijapokuwa majukumu ya inspiration,kwangu ni pamoja na ku-add content ama ideas katika kitabu chako Lizzy...

So walau kwenye epilogue ni-apiye(noun: appear)
 
But ofcourse. . .
Jua likiwaka kwa namna ya kipekee nikapata idea kutoka pale ndio inpiration yenyewe, so. . . chochote ulichonacho tupia upande huu.
 
Wewe ni mweledi sana... Hasa wa mambo ya kijamii.. Ulitakiwa angalau kila mwaka,umetoa kitabu kimoja..

Na mada ziko nyingi,unless unataka kumerge kwenye kitabu kimoja..
 
Geecee unanifagilia bure kabla hata hujaona kimoja.
Nilikua nimepanga mpaka Dec niwe na viwili ila naona akili imeamua kuzubaa kwa muda. . .embu nichangamshe nifanye mambo.
 
Lizzy..

Surely you can do that...

Fanya fanya,mi nategemea kimoja angalau... Si unajua basics na kila kitu? Namna ya kuanza and all that.. Wanasema time,environment,na sijui nini though inategemea na kitabu...

Mambo ya mahusiano tu yanaweza kuwa na title nyingi..
Ila ningependa uzungumzie kwa minajili ya kuwatune,empower,kuwafanya wajitambue,na kuwapa way forward kina mama wenzako,namaanisha wanawake kwa ujumla..
 
Basi ntajitahidi kukomaa na Zawadi walau mwaka usiishe kabla hakijawekwa kwenye shelf.

Hahahaha mbona unanitia majaribuni GeeCee?
Huo sindio mwanzo wakuambiwa sitokaa niolewe, mimi sijui hivi na vile kama ambavyo hua wanafanya humu?
 
Aah wapi.. We hujui tu... Utakuwa umewakilisha mawazo ya wanawake wengi we hujui tu! Pls kitoe cha Zawadi,kisha hicho nachokushauri..
 
Hey Konnie. . .Mambo?

@GeeCee. . .
Sidhani maana watu wenyewe wanapenda mambo ya kuwezeshwa na mimi nahubiri kujiwezesha.

Ndiyo maana kukawa na kitu kinaitwa elimu... Yaani ni kumbadilisha fikara zake,kumpa uelewa na ufahamu mpya,na kumfanya aweze kujitegemea kwa mikono yake,akili zake,na nguvu zake...

Pls do it Lizzy!
 
Back
Top Bottom