Jukwaa La Mgeni Rasmi Laanguka wakati wa Sherehe za Kuazimisha Miaka 50 ya Uhuru...

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
[h=3]Jukwaa La Mgeni Rasmi Laanguka wakati wa Sherehe za Kuazimisha Miaka 50 ya Uhuru Chunya[/h]


Hapa ni Baada Ya Jukwaa la Mgeni Rasmi kuanguka na Kuvuruga Mambo ya Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru Huko Chunya

Pembeni ni Gari la Mkuu wa wilaya Huku Jukwaa likiwa limeporomoka na kuharibu kila kitu kutokana na Mvua kubwa kunyesha. Mia
 
safi sana!badala ya kujenga shule au kuchimba visima wao wanajenga jukwaa
 
poa tu, tunafuja sana pesa za nchi masikini na tunaongoza kwa kutembeza bakuli
 
Basi si angalau wangetafuta mahali panapofanafanana na kusheherekea miaka 50 ya Uhuru. Au hapa ndio afadhali kuliko maeneo mengine?
 
Hajakatika hata nywele tu? Ningefurahi sana na inaonekana hio mvua ni ya "Wataalamu". Wangetengeneza na radi kabisa.....
 
Na najua tukihoji ni bei gani kutengeza hilo jukwaa utatajiwa mamilioni.

Lingemtengua hata kiuno
 
Hajakatika hata nywele tu? Ningefurahi sana na inaonekana hio mvua ni ya "Wataalamu". Wangetengeneza na radi kabisa.....
 
Back
Top Bottom