tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
kuna siku Dr. Lwaitama alikuwa na lecture ya CL pale Nkruma hall, umeme ukakatika, mic ikawa haifanyi kazi, yeye akawa anaendelea kupiga pindi
Wanafunzi: Hatusikiiiii!!!!!
Lwaitama: "jukumu langu sio
kuwafanya msikie nina jukumu moja
tuu,nalo ni kudeliver lecture kuhusu nyie kutonisikia mnataka kunishikiza
kujiingiza katika majukumu yasiyo yangu"
akaendelea kukata lecture.......