Lmao.
Mmenikumbusha mwalimu wa hisabati nikiwa form 1. Just outside our class kuna bomba ambalo halikaukiwi maji. Kukawa hamna maji jikoni, tukatolewa class kwenda kuchota. Tumepangana foleni, akaja akaingia class. Akafundisha madawati. Hairuhusiwi kuingia bila mwalimu kukuitikia, so watu wote tukarudi tukawa mlangoni. Akafundisha akamaliza kipindi akaondoka. Kesho yake kafika anauliza nani ana swali kuhusu kipindi cha jana?
Le proffesorri alikuwa ana vibweka. Tulimshtaki kwa mwalimu mkuu, in the end naskia aliishia mirembe.
Nimecheka mpk nimepaliwa na kiporo.