Juko Mushidi mbona yuko kimya sana?

Tambwe kufunga lile goli ni kosa la kawaida ambalo halistahili kumlaum beki kwa next mechi....kwa maoni yangu lufunga bado ni beki mzur ...bado Kisiki banda hajarejea juko acheze karata tu huko kwao
Lufunga atapata shida sana pale kale....Ukiingatia anakutana na mtu ambaye anamsumbua sana ...mara kwa mara.

Kuhusu huyo Banda....nadhani ndio siku ambayo mtamjua vyema....na rafu zake isizo na msingi..

Akiwepo Banda/Lufunga naiona penalty ileeeee kwa mbali..
 
Atapta usumbufu kutoka kwa nani??? wauza sembe wana msuva na kamusoko bhasss wngine hamna kitu
 
Mbona umewataja wauza sembe wachache? Mara hii umesha msahau Tambwe a.k.a Maradona? Tambwe ndio Escobar mkuuu kwenye safu ya pale mbele.

Kete yeyote ile ikimfikia lazima aisukume kambani, nadhani hauto msahau huyu mnyama.

au unataka tuzungumzie ya Chirwa? huyu ni Escobar msaidizi. Nadhani kama unafuatilia takwimu huto leta mjadala wa kubishana kuhusu ubora wake!
 
mkuu umenichekesha na nipo msiban
 
Atapta usumbufu kutoka kwa nani??? wauza sembe wana msuva na kamusoko bhasss wngine hamna kitu
Kuna Muuza sembe wetu mkuu....

Ana majina mengi sana, huenda ikawa sababu ya kumsahau.

Anaitwa "Tambwe" aka Kubwa la Maadui, aka Escobar mwenyewe ,aka Maradona, aka muuaji wa nyavu za Simba ! au mmeshamsahau huyu.......alisababisha mng'oe viti pale Taifa
 
Wanayanga mumesahau mapinduzi cup nani alicheza kama siyo banda? Je alipewa kadi nye kudu?
 
Sijawahi kufurahia ushindi wa Yanga dhidi ya Simba. Ila huwa nafurahi mashabiki wake wanavyolialia baada ya mechi.
 
Juuko Murshid haelewani na Benchi la Ufundi hasa Kocha Mkuu Joseph Omoga hivyo hana raha Kikosini na alichokifanya baada ya kuligundua hilo ni kumlazimisha Wakala wake amtafutie Timu ili Mkataba wake wa Simba SC ambao hata hivyo umekaribia kufikia mwisho ukifika tu awe free agent / player na aende zake huko ' Ng'ambo ' kujaribu bahati yake.

Kuhusu Beki Novatus Lufunga nadhani wengi wenu ni Mashabiki tu wa Mpira na siyo Wadau wa Mpira na hili ndilo limekuwa tatizo kubwa la Wapenda mpira wengi wa Tanzania.

Leo mnasema kuwa Beki Novatus Lufunga ni mbovu lakini hapo hapo mmesahau jinsi alivyoweza kucheza vizuri mechi karibia 10 za mzunguko wa Kwanza na ambazo kwa bahati nzuri Simba SC yetu ilishinda.

Kupwaya kwa Mchezaji kunatokana na mambo mengi ya ndani na hata nje ya Uwanja halafu kumbukeni kukosea kwa Mchezaji yoyote wa mpira ni kitu cha kawaida na ndiyo mnaambiwa kuwa mpira ni mchezo wa makosa.

Leo mnasema Novatus Lufunga anafungisha au anaharibu mbona juzi wakati Beki wetu Method Mwanjale alipofungisha tena ' Kizembe ' mno hadi Mshambuliji John Boko ' Adebayor ' akatulaza mapema wana Simba SC dhidi ya Azam FC hatukulalamika?

Jaribuni kuwa fair na msitawaliwe tu na chuki na mlivyo Wanafiki ni sisi sisi hawa hawa Mashabiki wa Simba kuna wakati tulikuwa ' tukimtusi ' na ' kumdhihaki Juuko Murshid lakini cha ajabu leo tena tumebadilika.

Nijuavyo Mimi ni kwamba Mabeki wote wa Simba SC ni wazuri na hawapishani sana Kiubora hivyo yoyote atakayepangwa atatekeleza majukumu yake halafu tujifunze kuheshimu Benchi la Ufundi hasa Kocha Mkuu kwani huo ndiyo Ueledi wenyewe halafu tujifunze vizuri mpira itusaidie kuwa Wachambuzi wazuri na wenye Tija.
Yap hilo ni kweli kabisa
 
Well said GENTAMYCINE tena hao mnaowasifia (kina Mwanjali na Bokungu) wote Wazee,Jmos wata'face mziki wa kina Msuva.
Bokungu cjui Bukungu c anajidai fundi wa kupandisha mashambulizi,ajiandae kula mituc ya mashabiki wa mikia mana'ke Chirwa anafanyia mazoezi kupita upande wake uleX2
 
Hiyo Defence yako inanichekesha sana.

Hebu fikiria nini kitatokea:-

Bokungu - Uso kwa uso na CHIRWA.

Shabalala - Uso kwa uso na kiberenge MSUVA.

Mwanjale - Uso kwa uso na super tall NGOMA.

Banda - Uso kwa uso na TAMBWE.

nina chekaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaa!
Pole nilijifunza zamani sana nikiwa mdogo kuwa kucheka sio Mara zote inamanisha kufurahi sasa yaweza kucheka kwako ni kilio karibu tena jumamosi jioni huku tukiwaacha kwa poit NGO vile
 
Back
Top Bottom