jamani huyu juko mbona yuko kimya sana na viongozi nao wako kimya sana hawasemi lolote najua alikuwa Afcon lakini walimaliza na wenzake walirudi kwenye vilabu vyao lakini yeye mpaka sasa yuko kimya je matatizo ya kufiwa na watoto wake ndio yanamzuia asirudi kwenye timu au lipo lingine? mimi sina imani kabisa na ukabaji wa lufunga tena sina imani naye kabisa. viongozi tuambieni Juko yu wapi mpaka sasa