Judge akipambana na changamoto za kutwa nzima.

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,346
Reaction score
863
Wakati flan mtu unaamua kunanihii tu, maana stress kibao!!
 
Attachments

  • 1435270384670.jpg
    1435270384670.jpg
    24.9 KB · Views: 3,724
Anakula kitu mmbuyu .......dah safi sana.Judge anajitambua
 
Anakunywa Safari?? Tukimpa Nchi si atakunywa hii pombe inayoitwa............

Acha unoko angalia ilipo glasi na alipo yeye inaonesha wazi kuwa hiyo safari ni ya mtu aliye pembeni yake na ni kama wanazungumza. Na hata kama anakunywa siyo kigezo cha kushindwa kuongoza kwani huna ushahidi wa yeye kushindwa kutimiza wajibu wake kutokana na kuywa pombe. Kusoma tabu! Hata picha?
 
tuma salamu
 
Back
Top Bottom