Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
Anakula kitu mmbuyu .......dah safi sana.Judge anajitambua
Mchungaji anakula kibanda! Ahahahaaaaaa!😬😬😬😬😬😬😬😬✌
Anakula kitu mmbuyu .......dah safi sana.Judge anajitambua
Kuuuubwa sana, ukilewa utajisikia wewe ni mtawala wa dunia!!
Only that mkuu?
heeee!! hapa tz lipo? au anaenda ibada hukohuko?Hivi si Mchungaji wa lile kanisa la Cameroon huyu ?
kama tumepata mzinzi, mlevi tutashindwaje? :wink2:Hili jitu levi kabisa ...yaani huyu ndio awe rais mlevi hivi..
nani kakwambia hawapigi hiyo kitu?Huyu jamaa si mchungaji wa anglikan!.
heeee!! hapa tz lipo? au anaenda ibada hukohuko?
Anglican na Cameroon wapi na wapi!!? hata haikuanzia huko!Si ndio wa Anglican hao
[/FONT][/COLOR][/INDENT]
[/FONT][/COLOR]
[/LIST]
[/FONT][/COLOR]
Anglican na Cameroon wapi na wapi!!? hata haikuanzia huko!
He's David Cameron, not Cameroon (a country). always check your spelling to avoid contradictions.David cameroon Pm wa UK mzee