Judge akipambana na changamoto za kutwa nzima.

Judge akipambana na changamoto za kutwa nzima.

Huyu si mchungaji huyu ama ama kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Katika Agano Jipya, Timotheo anaruhusiwa na Paulo kutumia mvinyo kidogo kwa ajili ya ugonjwa wa tumbo uliomsumbua mara kwa mara na siyo vinginevyo. (1Tim.5:23). Hapa mvinyo ulitumika kama dawa ya kutibu ugonjwa.
 
Kusaka wadhamini si MCHEZO lazima ukivuruge Kichwa chako kidogo
 
Kuna watu wanaona pombe ni dhaaambi kuuubwa, huku nyingine wakizihalalisha.
 
Mzee yuko fiti anapiga safari..dadekiiiii
 
Kuna watu wanaona pombe ni dhaaambi kuuubwa, huku nyingine wakizihalalisha.

thats kweli kabisa...utakuta wamekaa watu zaidi ya wawili wanamjadili na kumsengenya mnywaji...huku wanajua kuwa kusengenya ni mojawapo ya dhambi mbaya zilizotajwa katika maandiko matakatifu
 
Acha unoko angalia ilipo glasi na alipo yeye inaonesha wazi kuwa hiyo safari ni ya mtu aliye pembeni yake na ni kama wanazungumza. Na hata kama anakunywa siyo kigezo cha kushindwa kuongoza kwani huna ushahidi wa yeye kushindwa kutimiza wajibu wake kutokana na kuywa pombe. Kusoma tabu! Hata picha?

mkuu, una makengeza au?? kusoma hujui, hata pichaaaa??

Yaani huoni kama #mnyama yuko na Judge hapooooo??
 
Back
Top Bottom