Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,691
- 3,427
Hii kitu nilimuelewa mpaka nikajishangaa mkuu, aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupambana wanaweza wakapambana sana lakini unadhani wanaweza kumshinda Marekani kule Amerika Kusini ?? Ni sawa na leo hii useme kwamba Marekani anaweza akashindana na Urusi kule Ulaya Mashariki halafu akashinda kirahisi.
Kuna kitu mkuu Elungata alikisema juzi na watu wakapuuza. Marekani akivamia Venezuela kimabavu basi Urusi naye atapata kisingizio cha kuvamia Ukraine kimabavu na hata Uchina naye atapata kisingizio cha kufanya vurugu kwenye the South China Sea.
Marekani atakuwa ametengeneza precedent mbaya sana na kufungua Pandora Box ambapo kutakuwa na fujo duniani kote.
Sent using Jamii Forums mobile app