Juan Guaido wa Venezuela kufungwa miaka 30 jela

Maduro ana uvumilivu aisee angeku kwenye nchi ya malaika jiwe kama sio maiti basis angekuwa kilema.
Yaani jamaa ana uvumilivu ingelikuwa ni nchi ya maziwa na asali ....angekula 3 + 0 = to belgium for uponyaji
 
Siyo mpole, anajua akifanya ujinga tu kule Washington watapata kisingizio kizuri cha kumvamia. Tena watamtwanga hataamini, maana sidhani kama kuna nchi inaweza ikashindana na Marekani kule Amerika Kusini halafu ikabaki salama.
Mkuu umesahau midege miwili mikubwa aina ya TSU 160 BOMBER ya urusi ilitua pale venezuela ...na ma ss400 yameshapelekwa pale......baada ya hapo umesikia tena us akiongea lolote??
 
Vitimbwi vyote vya marekani kuhusu Venezuela vimekufa kifo cha Mende!! Ndio maana siku hizi hutawasikia tena wanazungumzia suala hilo kwa nguvu!! Hata vyombo vya magharibi kama BBc vimekaa kimya kwa aibu baada ya juhudi kubwa za marekani na uingereza kutaka kuingnguvuiza "misaada" Venezuela kwa nguvu kushindikana!! Propaganda za kutaka jeshi liasi zimeshindikana!!
CHEZEA TUPOLEV 160 BOMBER za mrusi wewe ...na ss400. ....zinasubiri kazi ianze na zenyewe zifanye kazii yake ...
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom