voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
"JPM"aliongea na Wananchi Papo kwa Papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM alitatua kero husika zilizokuwa zikiwakabili wananchi na kwa wakati husika
Pale tu taarifa hizo zilimpomfikia rasmi.
SSH yeye anawazuia,huku akiamuru wapambe wake kuwasikiliza.
Wakati wao ndio watuhumiwa wenyewe.
SSH anaogopa nini?
JPM alihangaikia na kuwawezesha wajasiriamali nchini
SSH anahangaikia riziki na fursa zaidi kwa walamba Asali zaidi.
JPM alihimiza kuhusu kujitegemea kama taifa,badala ya kulala tukitegemea na kuwaza mfuko wa Wahisani na Wafadhili.
SSH yeye anatembea kwa kasi Duniani,akijitahidi kuomba mikopo kadri awezavyo.Na yule anayemkosoa anaishia kuondolewa uheshimiwa na kuwa Muishiwa.
JPM hakupenda kusemewa,bali alipenda kujisemea yeye binafsi mbele ya wananchi.
SSH anatuma wasemaji waongo kama Mwigulu,Makamba,Nape na wengineo wengi waliomzunguka.
Na
Wanachokisema wao sio kile wananchi wanachotaka kukisikia,au walichokitarajia kukisikia toka kwa Serikali yao.
JPM alipinga wanyonge kuonewa na kupunjwa haki zao.
SSH yeye anawakamua wananchi kwa kosdi na Tozo lukuki.
JPM alikagua miradi yote mikubwa kimkakati,huku akitaka maelezo ya kina pale ilipoonekana kusuasua.
SSH yeye ameikabidhi miradi kwa michwa,huku yeye akizunguka kila uchao,matokeo yake ndio haya tumeongia gizani nchi nzima.
Matokeo yake ni bei za bidhaa kupaa bila udhibiti kutoka mamlaka husika.
Matokeo yake hadi Bundle za mitandao zinapanda kila uchao,utadhani nazo zinaagizwa Ukraine.
#Mtanikumbuka.
Alamsikhi.