Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,339
- 38,701
- Thread starter
- #21
haaaaaa pole...., mpwa mie mwenyewe giza likiingia nitakuja hapo...., leo band ipo mpwa
mmmh mpwa nishafika mpwa unapenda giza uwiiii mi giza nataka linikute wahi na kibajaji basi niko mlangoni kabisa upande wa kulia ukiona anaekunywa soda gali kabisa ya coke nimevaa tshirt nyeupe mpwa imeandikwa ""come to jesus"" unaweza ku come na kamadhabahu chako ama ukatuma kwa tigo pesa ukifika nipate hata ka kukunulia soda mpwa wangu
cc:matola upo wapi mpwa