Joyce wowowo uko wapi??

Joyce wowowo uko wapi??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,339
Reaction score
38,701
Najua mnamkumbuka na tulichanga sana sh 100 joyce woowooowoo anacheza indemonie
mara anacheza za koffe olomide

leo kuna twangapepeta joyce wowowo uko wapi utuchezee
 
Mpwa naanza na calabash ndio naelekea huko sijui kunabendi Leo??natamani nimwone ,mpwa Hoe
 
Long time sana hiyo 1994 indemonie bilekumpasi yondo sista mwanamamaa ehee mamaaa!
 
Mpwa naanza na calabash ndio naelekea huko sijui kunabendi Leo??natamani nimwone ,mpwa Hoe

Mpwa hoe katunigiza chaka Uhuru day kuwa kuna bendi ikala kwangu.
Giza likiingia tutakuwa wote. Ila mpwa umeanza jua kali sana!!!
 
Mh kitambo watu mpaka tuna anza kukumbuka majina yenye vituko
 
Mkuu Pdidy umenikumbusha mbaali sana. Bishoo enzi hizo ni kuvaa suruali panaaa, halafu imepigwa pasi..imefungiwa kifuani. nywele ni ile style ya panki, imenyoookaaaaa.. Hahahahahahahhh.....

weekend njema.
 
Last edited by a moderator:
enzi hizo mabishoo wanaitwa machekeraaa....hahahahaaaa
 
Mpwatumeibasana chenjichenji kumrushia jamaa atucheezee Joyce wowow
 
Mpwa hoe katunigiza chaka Uhuru day kuwa kuna bendi ikala kwangu.
Giza likiingia tutakuwa wote. Ila mpwa umeanza jua kali sana!!!

Haaaaaa pole...., Mpwa mie mwenyewe giza likiingia nitakuja hapo...., leo band ipo mpwa
 
Yule jamaa aliyekuwa anachezesha joyce wowowo pale shule ya Uhuru ameshafariki...daaah kitambo sana.
 
Back
Top Bottom