Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,482
- 40,001
Kama kuna maafisa wa Inteligensia nchini wangekuwa wanakomba kilichopo hapa!

sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

Nenda mbali naye ili asiwe jirani yako.
Hata mimi naona hapa amechanganya habari kabisa hakuna kitu kama hicho. Kwa Malawi kuna haja ya kuwa makini nao. Nilikuwa huko April karibu wote wanasema ziwa Nyasa / malawi maji yote yao wao sisi tunatumia isivyo halali. Wanasema ziwa letu ni Tanganyika lote letu. Hivyo kuna shida hapa sijui Serikali yetu inasemaje hapa kwani uongo ukizungumzwa mara nyingi huwa kweli, hata ukiangalia kwenye ramani za kimataifa mpaka unaonyesha maji yote ya Banda na wenziwe. Tungeanzia kwa hawa wasoma ramani kuwachimba
mkwara. ANGALIA HII HAPA CHINI
Note: Maji wanayopakana na Msumbiji hawana shida nayo wanakubalki hilo
[/zmQUOTE]
kwa kweli ziwa hili lote ni la malawi

...........mleta nyuzi hii nampongeza sana, maana kama ni ramli kapatia hasa, sasa hebu cheki mama anataka kuchukua ziwa nyasa, na kututishia kwa boti 4, na rada toka Israel, ...... ama kweli wewe kiona mbaliUtadhani amemeza siafu au pilipili. Joyce Banda kafanya nini? Hawa ndio wapiga ramli.
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
Huyu kibaraka mkubwa wa
mabeberu sijui ni kwa nini Jeshi lisiwe deployed kwenye border
immediately.Hiyo pia ni mbinu ya kidiplomasia.Hii ni dalili kwamba
mabebeu wa magharibi wameanza kuichoka Tanzania hasa baada ya meli za
Iran kusajiliwa kupitia jina la Zanzibar
Pia ni fedheha iliyoje kwa Africa kuendelea kukumbatia mipaka ya
kikoloni ilihali wao wanatoka huko.Pia inaonekana itakuwa nguimu sana
Afrika kuungana unapokutana na vibaraka kama Joyce Banda.Sijui vijana wa
Malawi wanajisikiaje kuongozwa na this puppet? ingawa hata sisi tuna
wakoloni weusi lakini tunaendelea kupambana kuwaondoa .Nilionya hapa JF
siku moja waliokuwa wakimshangilia huyu mama.Tunapenda mno vitu
vipya