Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BORGIAS, Jun 6, 2012.

 1. B

  BORGIAS Senior Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

  nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

  I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hujaeleweka..na hiyo ni tabia mbaya ya kuchungulia mambo ya kwa majirani zako ..why dont you mind your own business?
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  ni vizuri ujali yaliyo ndani ya nchi yako na dhahma zote kabla ya kuanza kuhangaika na majirani zako.... Joyce Banda hayuko zanzibar, hajatuletea udini, hayupo arusha, hayupo kwenye radar, hayupo kwenye EPA, Joyce si ajabu wala hajui kwamba tuna migomo ya madaktari iliyoua, wizi wa ajabu kwenye mawizara nk.

  Tafadhali epuka kuanza kuhangaika na wachawi wakati uchawi umebeba mkono wewe mwenyewe............ it is a sickness of our country, kuna tamko la kutaka wakristu wote waondoke baraza la mitihani, nini maana yake kwa mfano?? je watasema na wasahihishaji wa mitihani wabadilike?? na wakibadilishwa, vipi hao wanaokuja watakua wapagani au waislamu?? wakiwa waislamu watasahihisha tofauti?? kama ndio... je tuwe na shule za kidini tu tuache community??

  our president yote hayo kakaa kimya anazunguka na track suti kupiga jaramba na picha............ nk

  MAADUI ZETU NI MIMI NA WEWE, TUNAOANGALIA SHIDA ZETU NA SASA TUNATAKA KUANGALIA YA JIRANI WAKATI KWETU KUNATEKETEA..........

  FUNGUKA NA UACHE YA JIRANI
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unaongea kwa mafumbo humu hakuna wanajimu!
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160

  Imenenwa, toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuhangaika na kibanzi kwenye jicho la mwenzako
   
 6. e

  emkey JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Angalia mada inahusu nini, jenga hoja na utoe maelezo kwa mujibu wa hoja. udini hauna uhusiano na kilichoandikwa, kama hauelewi siyo lazima uchangie.
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Utadhani amemeza siafu au pilipili. Joyce Banda kafanya nini? Hawa ndio wapiga ramli.
   
 8. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona hujawa uwazi!
   
 9. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  JK mimi nimekuelewa, unamaanisha atasababisha serikali yako kuanguka! mbona wananchi tumisha iangusha tunakusubili umalizie mda wako tu?
   
 10. B

  BORGIAS Senior Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 126
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Great Thinkers@work
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sawa great sinker
   
 12. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kuwa wazi kama ni ndoa za njisia moja kwa yeye na nchi yake sio tatizo Lakini sio hapa Tanzania
   
 13. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwani Mada inazungumzia nini au inalenga nini!! ''Is just full of Parables'' kila mtu yuko huru kutafsiri awezavyo.
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​hii habari kimini
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  you missed the point, udini ni mfano tu wa adui wa ndani kabla hatujakwenda kwa Joyce.... we have too many problems to start looking for Joyce's issues
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Kama anaakili amekuelewa mkuu.!
   
 17. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tusikimbie sana hoja ya mada. Ni busara kukabiliana na maadui zako wote hasa kwa kutoa kipau mbele kulingana na masilahi ya taifa. Mtoa mada hajafunguka, na nafikiri hii ndo inapelekea kuoneka kama udaku hivi ambao unachochea hasira kwa wachangiaji kuona kwamba hakuna kitu. Mtoa mada asema uhatari wa huyu kwa taifa letu na tusipuuze. Great Thinker ni pamoja na kupokea taarifa na kufanyia utafiti kabla ya kuhukumu/kucomment. SaZaidi ya hapo ni kukurupuka tu. Huyu mtu anaoneka type ya akina Mabutu.
   
 18. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Duh, hata kama ni uGreat thinker, hii habari haina mashiko...
   
 19. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Unadhani atabadilisha mpaka wa Tanzania na Malawi katika Ziwa Nyasa (wao wanaita lake Malawi)? hilo ni suala gumu sana atamaliza muda wake na kuliacha lilivyo kwa hiyo kama unaongelea hilo hakuna uhatari wowote hapo.
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hakuna aliyekimbia hoja ndio maana ikajibiwa..... hata kwenye vita gani, prioritization ni kitu muhimu sana

  huwezi kuanza kukurpuka na kupanga vitu kila ukiamka na kucheki adui mwingine kila ukigeuka

  mleta mada anaonekana hajui nchi iko kwenye hali gani, priorities ni zipi etc.
   
Loading...