Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Acheni kuropoka vitu msivyovijua,Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.
Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.

Sipati picha huko congo wanajeshi wa tanzania na Malawi watakavyokuwa wanaangaliana.Aache ujinga....Amiri jeshi akilala vibaya na kuamka na maamuzi...ataijua Tanzania....
tunatokea Congo kwenye M23....
This is more than Schielfein plan...
TUMECHOKA NA KELELE ZAKE
anatafuta umaarufu wa mipaka wakati Lilongwe maisha magumu...blantyre wanaishi hovyo tu kama wako vyooni...komaa na maendeleo ya nchi yako mama...
wakoloni enzi hizo!kwani nani aliyeigawa africa?Acha kuongea upuuzi. Wamekabidhiwa na nani?
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.
Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.
Sasa huyu mama anaweza kuwaosha watz??kweli ngoja tutoke kuwarekebisha m23 tukirudi tunarudia mpaka buratare ndo mtatujua sisi tunafanya nini nyie ni wachumba tu!Sio mwendawazimu nyie watz ndo wendawazimu..mnachukulia mambo mzaha mzaha sasa huyu atawanyoosha
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
ni kweli tunamchukulia poa,ila tumwacheni atetee nchi yake,sie twiga walitushinda hapa hadi leo hawajarudi,,,,,,Sio mwendawazimu nyie watz ndo wendawazimu..mnachukulia mambo mzaha mzaha sasa huyu atawanyoosha