Joyce Banda alonga Al-jazeera

Joyce Banda alonga Al-jazeera

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,037
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.

Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.
 
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
 
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa
umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.

Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.
Anajua kuhusu Heligoland Treaty pamoja na maamuzi ya umoja wa mataifa kuhusu mipaka ya nchi zilizo karibu na mito,maziwa,bahari?
 
Huyu mama mwisho wake nauona si mzuri,anadhani hao waliomuahidi watamsaidia ikifikia mambo yamemfika shingoni,tumuache tu ahangaike na mwisho wake wamalawi wenzake watamkataa.
 
I wish hii issue icheleweshwe cheleweshwe hadi 2016 tutakapokuwa na serikali nyingine...
 
Aache ujinga....Amiri jeshi akilala vibaya na kuamka na maamuzi...ataijua Tanzania....
tunatokea Congo kwenye M23....
This is more than Schielfein plan...
TUMECHOKA NA KELELE ZAKE
anatafuta umaarufu wa mipaka wakati Lilongwe maisha magumu...blantyre wanaishi hovyo tu kama wako vyooni...komaa na maendeleo ya nchi yako mama...
 
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.

Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.


Atajua sasa mwaka huu kuwa tunaumiliki kwenye ziwa nyasa!! Huyu mama hovyo kweli, sijui anatafuta umaarufu tu kupitia jina letu???
 
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.

Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.

mkuu au kazungumza kutumia msamiati - ni kama nimemsikia akisema "katika umri wake wote wa miaka 63 hajawahi msikia mtu anaedai ziwa ni la kwake" - Tanzania haidai ziwa ni la kwake lakini. kama alikuwa na maana ingine ni mpuuzi kwa nini katika umri wake asisikie Malawi haijawahi wazuia waTz wasilitumie hilo ziwa.

huyu mama kaiachia mi ya wamalawi kwa wazungu akitegemea watampa hela na kumpa usaidizi katika hiyo mahakama au katika vita endapo itatokea.
 
Ningekuwa mimi ningekuwa nimeshatuma watu malawi kumkata miguu na mikono huyo mama kama warning.Sasa mkuu wetu sijui anasubiri nini?
 
Mbona watu wanato mapovu bureee, maji ya ziwa tunatumia bila kikwazo chochote, Mbasa wa ziwani twawavua twawala bila kikwazo chochote, dagaa nyasa ndo usiseme twaendelea kuwatafuna, yeye acha aendelee na ngonjera zake za ziwa langu ziwa langu, siku akizuia tusifaidi kilichomo ziwani ndiyo atakuwa kweli ameongea...mnatoka mapofu kwa umiliki wa ziwe kwenye TV ya Aljeezira,kweli mama Banda anatatizo lakini na wanaomshabikia wanatatizo kubwa zaidi. Kama kweli yeye ni president na atoe agizo la kupiga marufuku watz kufaidi rasilmali zilizomo ziwani ili athibitishe kama kweli ni lake
 
Back
Top Bottom