Joto la Mwili

Jamani hadithi ya leo tamu sana. Hongera mkuu kwa kuwa Mahiri hivi wa utunzi. unatufundisha tusiamini kila roho zinazohubiri Kristo nini? mana huyu mchungaji, kiboko.

wazee walisema "kila king'aracho siyo dhahabu"..
 
Thanx Mwanakijiji for a nice Story! Mkuu toa kitabu naamini kitanunuliwa tu
 
nice story Mkuu MM. lakini imemisikitisha! Nimemuonea huruma sana mumewe! na nikapiga picha kwamba ingelikuwa ndo mimi? Nway its just a story but Guyz...this sh..it happenz wajameni!
 
mwanakikijiji,unakosea kitu kimoja.Hadithi zako zinakua za kusadikika sana.Hazina uhalisia,maana zote zinaonesha watu wakiishia gesti kirahisi mno hata bila kufahamiana.It cant be as easy as that.
 
Pata senksi Mwanakijiji yani nimeisoma na kuieka katika picha in my head. Thats how stories should be. and these things happen kabisa one night/day stands zipo kibao.
 
Kazi nzuri sana - hongera MM, nina mategemeo makubwa ya kusoma vitabu vyako siku za usoni tafadhali usiniangushe...


Annina
 
MMK SENKS wajua kusoma vyema soko linahitaji bidhaa ya aina gani na muda upi maana WANAJAMVI wengi wameipenda bidhaa hii. Kwa tafakuri yangu ni kuwa hivyo ndivyo ndoa nyingi huingia matatizoni maana Mayasa kilichomchengua ni mato meno na ufundi wa sinajina.ukweli ni kuwa kamkosea adabu mumewe na MUNGU wake na mbaya zaidi hakujali hata kutumia ngao kampelekea mumewe zawadi ya vimelea.
 
The son of africa, i tell u anything happens within fractions of secods, sometimes decisions are made ambazo unaweza jutia forever, i have seen some meet in swimming pools and its love on first sight. some meet in foleni za malipo, foleni za kumwona daktari au supermarkets na kuangalia tu the body and heads decides just there.

Kitu cha msingi ni kujifunza kutokana na story kuwa tuombe kila decision tunayofanya tuwe timamu na tusiendeshwe na joto la mwili au mfadhaiko, maana there can be lots of them nd u can not manage fulfilling every joto la mwili!! We can grasp a lot from this story not just the sweet part of it. Lets think kama mmoja wao ana ukimwi halafu anampelekea mwenza wake na wote wanakufa na kuacha watoto ambao watakuwa ombaomba mitaani au machangudoa mitaani?watoto ambao wangekua ktk familia bora wangekua walimu au madaktari au viongozi watakaosaidia jamii na kwa sababa tu ya "love at first sight basi wamekatiliwa makuzi yao kwa wazazi kukwaa ukimwi na kuangamia.
Lets think if dada kapata mimba na kuleta commotion ktk familia na kusababisha ndoa kuvunjika na familia kusambaratika.
Lets think if Mr "sina jina" anaendelea na udonoaji na wanampa tabasamu hadi kusababisha makwazo kwa waamini wake and others decides never to believers cause of his characters?

Mwanakijiji my old brother, I love poetry, i love writing with every bit of my heart, I encourage you to keep up the good spirit in you. endelea ku-concetrate na jinsi uwasilishaji wa dhana. When you think of publishing count me as your first customer. FELICITAZION MMJ
 
Mwanakijiji my old brother, I love poetry, i love writing with every bit of my heart, I encourage you to keep up the good spirit in you. endelea ku-concetrate na jinsi uwasilishaji wa dhana. When you think of publishing count me as your first customer. FELICITAZION MMJ

Dada.. umepotea siku nyingi hadi ninakuwa na wasiwasi.. tuwasiliane na asante sana.
 
Ehee
ama kweli kila m2 na kipaji chake,
yani adi nilitaka kupiga izo namba apo ju
but good work,
ungekuwa shule ningekupa well done
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeee wajameni kaka kwanza hongera maana ama kwa hakika wewe ni chiboko uko juu kwa utunzi mwanakijiji. sasa swali langu kwa nini yule binti alidondoka? kujua yule ni pastor au? anyway hadithi nzuri sana, lkn je inatufundisha nini, mwanamke kwa mwanaume?? kaka nimeipenda
 
Back
Top Bottom