Joto la Mwili

Mayasa ana mambo sio mchezo hivi walitumia kinga kweli? watu wana kutana barabarani hapo hapo wanaenda kungonoka?
 
Asante Mwana Kijiji ,Kweli Hadithi ni ncha saba :D sasa huyu kijana alivaa usoni hiyo chupi ya Ukamba baada ya kumvuwa ?hata watalamu wamesibitisha kuwa kuiva Usoni ,kunamfanya Mwanamume kuengeza viungo katika hayo mapishi..
 
Hawa wote ni wahuni watupu hawa dah Mchungaji Swai tena, dah MKJJ vipi hapo reflection ya wachungaji. Lakini inawezakana ndo walivyo, pastor wetu humu kutwa utamkuta kwenye kale kajukwaa kamwisho pale!
 
Going back to year 2005/1995!, my mind keeps reminding me on the king to be we met and from whom we had anticipated greatest things good for our future but later turned the hope we had on him up side down!
 
msinogewe sana na hivi visa.. nimeshasababisha ugomvi kwenye nyumba ya mtu na siku moja msibani baada ya mtu kunipa pole ananiambia habari za visa hivi.. so.. zinazokuja hazitakuwa za ndani namna hii sana ili nitazinogesha hadi mahali fulani yale ambayo sitayaweka nitayaacha mawazoni mwa watu tu.

Hivyo visa hivi vingi ni vile nilivyoandika kuanzia 2007 kwenda nyuma.
 
Is it true stories?kama sio inawezekana kuna kaukweli hata 30%
 
Na. M. M. Mwanakijiji

“Kabla hatujafanya lolote tukubaliane mambo machache” Nilianza kumwambia

“Ok” Alijibu huku akiwa amesimama karibu yangu akiniangalia utadhani anaangalia picha ya Mona Lisa

“Sitaki kujua chochote zaidi ya kujua kuwa una afya nzuri” Nilimuambia
“Nina afya nzuri” Alinijbu.

.

Unaweza kufanya kitu baada ya kumaliza na kutimiza haja zako unachanganyikiwa mwenyewe kama umesalimika au lah!:)
hongera mtunzi wa hadithi ..i salute
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom