Joto la Mwili

Nina hofu mwanakijiji kavamiwa. Punguza kasi ya mabadiliko, mkuu. Otherwise you are heading to the wrong direction. But...the story war superb!
 
Nina hofu mwanakijiji kavamiwa. Punguza kasi ya mabadiliko, mkuu. Otherwise you are heading to the wrong direction. But...the story war superb!

hahahah Kingi bana

hajavamiwa..i fact kama alikuwa amevamiwa ni zamani sasa hivi amejikomboa kabisa! ameona maisha katika mwanga mwingine
 
hahahah Kingi bana

hajavamiwa..i fact kama alikuwa amevamiwa ni zamani sasa hivi amejikomboa kabisa! ameona maisha katika mwanga mwingine
Umegundua hilo hommie? Manake mtu anaweza kuongoka watu wakamwogopa kama ilivokuwa kwa mtume Paulo.

hommie ndo maana this time inabidi turudi pale...:D
Hebu longa na Fidel ile project yake ya 2012 afanye needful iwe 2010! MidTown si bado hapajanitoka, si unajua yale mambo ya Upanga?
 
Saizi sangapi? mambo ya kuja kutafutana wakati vyupa viwili tayari kumkichwa tutajalaumiana bure.
hehehe!mkoloni kapiga simu kokote aliko anasema ''GEOFFREY PLEASE DON'T LEAVE I HAVE A MEETING WITH YOU AT 5:30''...ikabidi niwe mdogo tu...!APPOINTMENT CANCELLED:)
 
hehehe!mkoloni kapiga simu kokote aliko anasema ''GEOFFREY PLEASE DON'T LEAVE I HAVE A MEETING WITH YOU AT 5:30''...ikabidi niwe mdogo tu...!APPOINTMENT CANCELLED:)
I will drink for your healthy!
 
Umegundua hilo hommie? Manake mtu anaweza kuongoka watu wakamwogopa kama ilivokuwa kwa mtume Paulo.

Hebu longa na Fidel ile project yake ya 2012 afanye needful iwe 2010! MidTown si bado hapajanitoka, si unajua yale mambo ya Upanga?

Ngoja ni do ze nidiful....lol
 
Kuna sehemu yoyote katika Biblia ilipokataza? Mi najilambia tu bana. Raha jipe mwenyewe!

Chris Huwaga unapatia sana katika majibu yako lakini leo umechemka kidogo. kuna kipengele kinasemaga mselewe kwa pombe wala mvinyo. Kila kinachesema mywe lakini msilewe maanake mywe juice! kwasababu huwezi kunywa pombe lakini usilewe. lazima utalewa in a small %ge. Ngoja nicheki kwenye biblia kwanza then I will be back.
 
Mwanakijiji...still inspiring! kweli kuishi kwingi kuona mengi!
*Ila sikujua Mayasa ni Mchagga!!!
 
M/kijiji , mzee wewe unafaa kuwa mtunzi wa hadithi make hii hadithi mimi nilifikiri kweli kitu kimetokea, kamanda ebu aanza kujtunga vitabu vya mapenzi bila kupoteza muda, utauza kaka, huoni akina shigongo wanavotesa na viadithi vyao vya uongo na ukweli,

aanza kupublishi kaka, utapata fans wengi tu

Kabuche.. nikipata watu hata 100 ambao wanaweza kununua kitabu; ningekuwa nimeshatoa mfululizo wa "Visa vya Mwanakijiji" na riwaya zangu nyingine kama "Ufalme wa Tandu", "Kilindi cha Penzi", "Mtikisiko", "Busu la Shetani", "Kisasi cha Mwanamke", "Mdudu", "Tetemeko la Moyo" "Shujaa wa Mwisho" na "Aliyeisaliti Damu - Based on a True Story". Hata visa vyangu vya kiingereza ningetoa kama kile cha "The Preacher's Daughter" na "Promise Kept - From Kilimanjaro to Hollywood"..

Hivi vyote ni visa nilivyoandika miaka hii mitatu ambayo nilikuwa kwenye breki. Hata kisa hiki mnachosoma niliandika 2007. Tangu wakati huo sijapublish kisa chochote kipya.

.. tatizo naambiwa mara nyingi kuwa wabongo hawasomi lakini kama hapa hizi fupi fupi watu wanasoma.. sasa huwa naandika zaidi kwa kuburudisha tu. Nilianza kuandika kisa cha watoto cha "Lupa Tingatinga - Mwana wa Simba" ambacho Harry Potter nawahakikishia hakaribii lakini then.. ndiyo haya haya ya kukatishwa tamaa.

Lakini ninavyosoma comment zenu natamani kuandika zaidi na kuwa a little bit serious.

Nafurahi kama kimewaburudisha.
 
Jamani hadithi ya leo tamu sana. Hongera mkuu kwa kuwa Mahiri hivi wa utunzi. unatufundisha tusiamini kila roho zinazohubiri Kristo nini? mana huyu mchungaji, kiboko.
 
Back
Top Bottom