Joto kali sana mjini

kweli kbs ccm imelifumbia macho hili swala cjui kwann wakati walituahid kupunguza joto ndan ya jiji letu
 
Umasikini mbaya!
 
Sasa mkuu Kama unalalamika joto la Dar VP Znz ??? Utaishi wewe mbona kama Zanzibar joto Kali kuliko Dar
 
CCM omelets joto KWASABABU Kuna mkulu Fulani ameingiza feni mbovu toka china.
 
Joto hili mafundi AC za majumbani nk ndio muda wa kupiga pesa, wauza maji, wauza soda na juisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…