Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,189
- 1,324
joto hasira ambaaaa naruka mwenyewe ambaaa
Jamani sio mchezo joto joto Dar mpaka unashindwa kugusana na mwenzio maana unamkuta yuko chapachapa na jasho .
Kuna jamaa yangu wa Kariakoo anasema inabidi awake mpira wa kulalia maana maji yanayomtoka kama amejikojolea.
Kama kweli jamaa zetu wa Jangwani chonde chonde.
joto hasira ambaaaa naruka mwenyewe ambaaa
hili jotro halijawahi kutokea
mvua ilipiga wiki iliyopita maeneo ya Mbagala gongo la mboto ubungo lakini kinondoni hakuna hata tone
Mwaka 1984 hali kama hii ilijitokeza. Pia mwaka 2000 hivi kama nipo sahihi.
Njia ya kulikwepa joto hili ni kila mtu apande miti na kuitunza ikue.
Dar ni kwere ariff" usiombe uvae boxer isiyo 100% cotton utachuruzika jasho la mku.. ad miguuni
Karibu arusha