Jamani sio mchezo joto joto Dar mpaka unashindwa kugusana na mwenzio maana unamkuta yuko chapachapa na jasho .
Kuna jamaa yangu wa Kariakoo anasema inabidi awake mpira wa kulalia maana maji yanayomtoka kama amejikojolea.
Kama kweli jamaa zetu wa Jangwani chonde chonde.
Kwa kikwetu joto la aina hii tunaita "Sumumu"Kiukweli imefikia wakati nataka nilipe jina ila nakosa, nimekumbuka kipindi cha mvua nyingi ikaitwa "elnino" sasa hili jua kwa kweli lilivo kali kuliko vipindi vyote cjui tuliiteje yani?????? mweh.....
.Jamani sio mchezo joto joto Dar mpaka unashindwa kugusana na mwenzio maana unamkuta yuko chapachapa na jasho .
Kuna jamaa yangu wa Kariakoo anasema inabidi awake mpira wa kulalia maana maji yanayomtoka kama amejikojolea.
Kama kweli jamaa zetu wa Jangwani chonde chonde.
karibuni kupumzika arusha,ndio maana sipend dar
mvua ilipiga wiki iliyopita maeneo ya Mbagala gongo la mboto ubungo lakini kinondoni hakuna hata tone
Karibuni Mbeya cold weather like Jo'burg or Addis Ababa
Na utabaki kuwa mshamba milele
Hili joto la mkwere ila litaisha tuu very soon.