BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Kuchafua hewa? kivip yan?
Chipi/boxer inasaidia kupunguza kasi na ushuz hasa 100% cotton na sio polyester kama bwana GENTAMYCINE alivyokwambia
Last edited by a moderator:
Kuchafua hewa? kivip yan?
Chipi/boxer inasaidia kupunguza kasi na ushuz hasa 100% cotton na sio polyester kama bwana GENTAMYCINE alivyokwambia
Ushuzi? ndo nini me hata sijui na sielewi chochote about it
Huo umeukalia
Jamani sio mchezo joto joto Dar mpaka unashindwa kugusana na mwenzio maana unamkuta yuko chapachapa na jasho .
Kuna jamaa yangu wa Kariakoo anasema inabidi awake mpira wa kulalia maana maji yanayomtoka kama amejikojolea.
Kama kweli jamaa zetu wa Jangwani chonde chonde.
Cha kushangaza mamlaka ya hali ya hewa haisemi kitu
wakati hili joto ni record this year
Karibuni Mbeya cold weather like Jo'burg or Addis Ababa
Sasa kwani kutovaa nguo ya ndani ni dhambi? au nimevunja sheria? halafu sio 33c juzi ilikuwa 36c
I assure you and fellows kuwa up next is heavy rains. draught might come if rains will exceed its limits. Prepardeness is highly considarable haikwepeki.Paw. .... what will this condition attribute to .... draught or heavy rains ahead .... based on your mentioned past experience