Jamani sio mchezo joto joto Dar mpaka unashindwa kugusana na mwenzio maana unamkuta yuko chapachapa na jasho .
Kuna jamaa yangu wa Kariakoo anasema inabidi awake mpira wa kulalia maana maji yanayomtoka kama amejikojolea.
Kama kweli jamaa zetu wa Jangwani chonde chonde.
Hili Joto Limekuwa Kali Mno Kiasi Ya Kwamba Hata Mechi Za Ugenini Nimejikuta Napunguza Kipindi Hiki Maana Viwanja Haviruhusu Hali Ni Mbaya Sana.
Cha kushangaza mamlaka ya hali ya hewa haisemi kitu
wakati hili joto ni record this year
Yaani hadi kero. Me nguo ya ndani hata sivai
Yaani hadi kero. Me nguo ya ndani hata sivai
Unapatikana wapi
Kwahiyo Hata Ozone Layer Yako ( Chupi ) Nayo Haipo Hivyo MJAMBO Wako Wowote Unaoutoa Lazima Uwe Unanuka KUNAKOTUKUKA Na Una Madhara Kwa Walio Karibu Yako Kwani Hauchujwi Tena Kupitia Nguo Yako Ya Ndani ( Ozone Layer Ya Mwilini ). Shikamoo Mkuu!
Anayejua bei ya Ac na cost zke kwenye ulaji wa umeme adondoshe humu" mana joto la dar feni inadunda
Nunua air cooler boss
Ni 230,000 tu, unaweka maji ya baridi litre zako 8 basi inatoa hewa ya baridi kama AC. Na uzuri wake consumption ya umeme ni very very low. Pia ni movable, sio ya kufunga, unahama nayo.
Feni sasa hivi kwa vile kazi yake ni kupepea hewa iliyopo,
Kama ni joto basi inapepea hilo hilo joto
Muulize maza wako anajua
W mtoto joto la Dar 33c linakufanya utembee bila nguo ya ndani sasa ungekua Khartoum 40c huko c ungetembea uchi kabisa weye
Sasa kwani kutovaa nguo ya ndani ni dhambi? au nimevunja sheria? halafu sio 33c juzi ilikuwa 36c
Sio dhambi ni maamuzi tu lakn moja ya effect zake ni uchafuzi wa hali ya hewa.