Joto kali sana jiji la Dar, kulikoni?

Joto kali sana jiji la Dar, kulikoni?

Huku Pemba full snow, kama north pole

acha uongo mkuu pemba gani yeny snow saa iz? hali ya hewa ya pemba na dar almost zinalingana, kwa sasa pemba na unguja ni joto sawa sawa tu dar
 
acha uongo mkuu pemba gani yeny snow saa iz? hali ya hewa ya pemba na dar almost zinalingana, kwa sasa pemba na unguja ni joto sawa sawa tu dar

Mkuu
Ushawahi kufika pemba? Au unaongea tu? leo hii ni -3 kwa cold 😀😀😀
 
Mkuu
Ushawahi kufika pemba? Au unaongea tu? leo hii ni -3 kwa cold 😀😀😀

pemba ipi mkuu unayozungumzia ww? kama ni hii ya zanzibar ndo nyumbani, nimezaliwa huko nimesoma hukohuko haijawahi temperature kushuka ikafika hata 20?c achilia mbali 3?c
 
pemba ipi mkuu unayozungumzia ww? kama ni hii ya zanzibar ndo nyumbani, nimezaliwa huko nimesoma hukohuko haijawahi temperature kushuka ikafika hata 20?c achilia mbali 3?c

Hahaha hahaha I was saying just a joke
 
Subirini wakubwa wanaoichemsha dunia wamalize kupiga majungu kwenye mkutano wao
 
Matesooo sanaaa

Feni inanitesaa sanaa ac naogopaa
bora mbeya na iringaaa
 
I assure you and fellows kuwa up next is heavy rains. draught might come if rains will exceed its limits. Prepardeness is highly considarable haikwepeki.

We need to be prepared for that

Paw ..... very precise and correct forecast ..... I wish those who lives in low lands would have gone through your post
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom