Kwani miaka mingine jua linakuwa wapi mwezi na tarehe kama hizi? Mbona joto haliwi hivi?Equinox the Sun is exactly overhead at a point on the equatorial line. 20March
Mkuu nadhani kuna kitu kinafichwa hapo.K
Kwani miaka mingine jua linakuwa wapi mwezi na tarehe kama hizi? Mbona joto haliwi hivi?
hongera mkuu .. usiombe usikie hilo jotoMimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
Duuuuu sasa kama joto lilikuwa kali kihivyo unapiga vipi mechi na kufungana magolihongera mkuu .. usiombe usikie hilo joto
mechi hakuna mkuu we umekaa tu unamiminika maji ndiyo ile mikiki ya mzigo aisee mzigo tumeweka kando ngoja ;iishe aiseeDuuuuu sasa kama joto lilikuwa kali kihivyo unapiga vipi mechi na kufungana magoli
Ukute mkuu upo Mfindi huko.Mimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
HahahahahahaMimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
Kwi kwi kwi kwi kwi poleni sana kwi kwi kwi kwimechi hakuna mkuu we umekaa tu unamiminika maji ndiyo ile mikiki ya mzigo aisee mzigo tumeweka kando ngoja ;iishe aisee
ha hah aha ha acha tu labda baada ya pasaka ndiyo mechi zitachezwa kama kukipouwa.. sababu itakuwa ni kuogeshana mijashoKwi kwi kwi kwi kwi poleni sana kwi kwi kwi kwi
Nipo kimara mkuuUkute mkuu upo Mfindi huko.
Kwi kwi kwi kwi kwiha hah aha ha acha tu labda baada ya pasaka ndiyo mechi zitachezwa kama kukipouwa.. sababu itakuwa ni kuogeshana mijasho
Ww utakuwa mhaya ambae hajaelimika ila ana enzi mila toka lini jua ukalisikiaMimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba