MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Wapi nimetaja jua hapo, wewe mnyarwanda nini,?Ww utakuwa mhaya ambae hajaelimika ila ana enzi mila toka lini jua ukalisikia
Wapi nimetaja jua hapo, wewe mnyarwanda nini,?Ww utakuwa mhaya ambae hajaelimika ila ana enzi mila toka lini jua ukalisikia
We acha ujinga,mungu amekupa akili ya kufiri kichwani na sio huko.Hili joto ni pigo la Mola kwa kile kilichojiri jana Tanzania Visiwani!
Good question great thinker... Jibu lipo hapo kwenye page ya pili... Maelezo kuhusu ongezeko la jotoK
Kwani miaka mingine jua linakuwa wapi mwezi na tarehe kama hizi? Mbona joto haliwi hivi?
Safi mkuu,umeweka fact.chanzo ni uharibifu wa mazingira
Safi mkuuEquinox the Sun is exactly overhead at a point on the equatorial line. 20March
Mkuu ebu tupe no za watu wa huko IKWETA ili watuthibitishie kama ni kweli unacho kinena, otherwise ata wewe ni jipu tu sasa maana hakuna namna.Jana jua lilikuwa ni la utosi, kwa mujibu wa wataalam wa hali ya hewa walisema jua lilikuwa karibu sana na Ikweta kuliko kipindi chochote cha mwaka. Hali hii itajirudia September.
Naamini wataalam wa tabianchi watatupa elimu hapa
Wewe Muhaya siyo.Mimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
We acha ujinga,mungu amekupa akili ya kufiri kichwani na sio huko.
Kila kitu Siasaaaa tuu,fikiria mengine,Sasa kazi tu na maisha yanaendelea,uzi unamengine wewe unaleta ya ajabu,waalim walikuwa na kazi kweli.
MkuuCaused by climate change. Haya ni matokeo ya massive production za green house gases.
Hivi watanzania wa Leo bado tunaulizana makabila?Wewe Muhaya siyo.
miaka michache iliyopita ktk barabara ya morogoro kuanzia manzese hadi usalama kila upande kulikuwa na miti, waliopanda walikuwa na akili sana lakini ndo hivyo tena haina jinsi, na hali hii ikiendelea hivi miaka ijayo hiyo o-zone kadri inavyopungua ndivyo tutazidi kuipata joto ya jiweSafi mkuu,umeweka fact.
Yaani wanamazingira kila siku wanapiga kelele juu ya hilo,na nikwa miaka mingi sana.
Na ukizingatia sana miji mingi inapoteza ile misitu ya asili kwa ukuwaji wa miji yetu na kutokuwa na mipango madhubuti ya kuitunza misitu yetu ile mikubwa na midogo ya ndani ya miji
Mkuu
hebu nielimishe ktk hili la green houses kuhusika.
Ni kweli kuna green houses nyingi sana dar kwa sasa ambapo sidhani kama hali ya hewa iliyopo ni hatarishi hadi tukaanza kukimbilia green houses kufanya veg gardening