Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Wash a feni
Sio CivicsHata kama wengi tunasema niKutokana na mambo ya Geograph
Lakini tumeharibu mazingira sana
ngoja na mimi nianze KUKWEPA KODI,ili niishi kama wewe mkuu.Mimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
ha ha haa,umenikumbusha enzi za chuo,tulikuwa sometimes tunapitia mlimani city kula kipupwe,tulikuwa tunapaita jina hilo(mufindi).Ukute mkuu upo Mfindi huko.
Acha ujinga wewe! ina maana nchi zenye joto kuna jamabo?Hili joto ni pigo la Mola kwa kile kilichojiri jana Tanzania Visiwani!
Usiku wa kuamkia tarehe 21/03/2016 kulikuwa na joto kali sana jijini Dar.
Ni kweli TMA walitangaza joto kali kufikia nyuzi 35 kwa Dar na 36 kwa Kilimanjaro ambapo joto la Kilimanjaro ndilo limevunja rekodi kwa Tanzania.
Naomba wataalam wa hali ya hewa waliomo humu watupe elimu. Hili joto kali chanzo chake nini hasa? Je kuna prediction ya lini litaisha? maana badala ya masika kunyesha, ni jasho linanyesha sasa
Mkuu mimi sio mkwepa kodi hilo ni jina tu, Fanya kazi kwa bidiingoja na mimi nianze KUKWEPA KODI,ili niishi kama wewe mkuu.
NowadaysOooh sawa green house gases eg. Co2, methane CH4 etc hizi kazi yake kwenye anga ni kutrap uv light na kugenerate joto ambalo linashuka duniani bila hizi gases dunia kusingekuwa na maisha dunia ingekuwa baridi sana.
Sasa kutokana na human activities now days production ya hizi gases umekuwa mkubwa kutoka moshi viwandani, magari, kusafisha mafuta, kilimo n.k
Sasa kuongezeka kwa hizi gases angani zimeongeza ability kubwa ya kutrap more suv light hence ongezeko la joto duniani na mabadiliko mengine mengi ya tabia ya nchi.
Kwahiyo hili joto ni sbb ya climate change ndio maana huoni sio dar tuu jana mkoa kilimanjaro umevunja record ya kiwango kikubwa cha joto.
Thkx
Ha ha haaaaa. Poleni sana.Mabadiliko ya hewa .... Nyie mnalia na 35~39 ` Jee siye wa 47`~52` huku nusu jehanamu???
al-kheri AN !! Pole nawapeni nyie... aaa siye tushazoea "tunaivisha tende"Ha ha haaaaa. Poleni sana.
ati nusu jahanamu. ukute hata robo jahanam haijafikia.
Asante sana Akhy. Yaani joto joto joto. Nje hakutokeki na ndani hakukaliki. Watengeneze tu makoti ya barafu aisee.al-kheri AN !! Pole nawapeni nyie... aaa siye tushazoea "tunaivisha tende"
Ha ha ha ha ..sasa hiyo mpya makoti ya barafu si yatayayuka kwa joto? Mie nina ufumbuzi wakuwatoa ktk dhiki hilo.... ila kuna gharama yake!! Mtaiweza????Asante sana Akhy. Yaani joto joto joto. Nje hakutokeki na ndani hakukaliki. Watengeneze tu makoti ya barafu aisee.
Kuzidi kwa joto kunatokana na kupumua(mvuke) wa moto waJAHANNAM......By Muhammad(s.a.w)