Joto Kali Dar

Joto Kali Dar

Mkuu nadhani kuna kitu kinafichwa hapo.
hatujajua hadi sasa ni size gani ya OZONE imeshapotea. maana Nchi za magharibi hususani Marekani zimegomea kusaini mkataba wa Kyoto kupunguza joto duniani. Wao wanazalisha sana gesi ya ukaa ambayo inamaliza ozoni ye dunia.

Northern lights nahisi zitakuwa zimeongezeka sana
Kwann viongozi wa africa usingeichukulia hili swala kuwa agenda yako kuwashinikiza hao magharibi kusain huo mkataba,au kwa kuwa viongozi wetu wanalala pembezoni mwa bahari wanaacha kutusimamia hao wataalamu wangekuja wapime joto LA Jana vingungut,manzese,tandale LA Kilimanjaro lingesubir kutokana na nyumba zilivyoshonana,yani joto LA dar wanapima obey na mbezi beach wanatoa takwimu hiyo September vipimo wavichukulie uswazi
 
Hivi hili joto lipo Dar na Kilimanjaro tu?,vipi pale Kahama,na hali ikoje maeneo ya baridi kama Mufindi na Ngara?
 
Mimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
They say be careful and kind to the people on your way up because you will meet them again on your way down...
 
Kulikuwa na angalizo eti watu wakae zao nyumbani, cha kushangaza sasa nyumbani ndo joto lilikuwa balaa. Mpaka mtu unatamani kuingia kwenye fridge.
 
They say be careful and kind to the people on your way up because you will meet them again on your way down...
Mimi sio mwenzako mkuu hata humu jf naongea na wewe mlalahoi kwa ajili ya kupoteza muda tu, lakini mimi sio mtu wa kawaida pole sana kwa shida zako mkuu teteeteteteeeee
 
Mimi sio mwenzako mkuu hata humu jf naongea na wewe mlalahoi kwa ajili ya kupoteza muda tu, lakini mimi sio mtu wa kawaida pole sana kwa shida zako mkuu teteeteteteeeee
Aisee kumbe unaweza kuona Avatar ya member humu na kuweza ku define status yake mtu mkuu??
 
TMA hawakuwa sahihi kukanusha taarifa ya joto kufikia nyuzi joto 40 za sentigredi. Kipimajoto cha gari yangu jana kilionyesha kufikia halijoto hiyo!
 
... Mungu atujalie tulivuke hili balaa la joto..... ucku hakulaliki....mchana nako vilevile
 
Mimi sikulisikia kabisa hilo joto kwa sababu nyumbani kwangu nina AC, kwenye gari kuna AC, ofisini kuna AC, kwa hiyo kwa hali kama hiyo joto mnasikia nyie walalahoi tu. Mtaisoma namba
Nilifikiri utasema wewe ni kiziwi ndio maana hukulisikia.
 
Daaah kwa hili joto la Dsm waweza weka buku mfukoni kwa dk 4 kuja kuitoa ukakuta nyerere kavua shati.
 
Hili joto la Dar Watabiri wa hali ya hewa wanasema inaweza ikanyesha mvua yamoto" imechemka mchukue tahadhari wakuu
 
Hata kama wengi tunasema niKutokana na mambo ya Geograph
Lakini tumeharibu mazingira sana
 
Ndalichakoooo mama wa vitabu......badilisha mfumo wa elimu ili watu wawe na akili iliyoelimika na si akili inayokariri hadi nukta maana hili NI jipu lililoiva....
 
Back
Top Bottom