specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Kwahiyo hapo anayechacha ni nani?
Hahaha
Ohoooo!!!Jana walipita barabara ya Morogoro karibu na Shekilango walipendeza sana! Na msafara babu kubwa! Watu walishangilia Jot kapata mke!
Kumbe tangazo la Tigo!
Makubwa
Hoja zangu mwenyekitiKwahiyo hapo anayechacha ni nani?
Mimi hata akiniambia kafiwa na Mama ake sitoamini.Joti hata akioa kweli sitoamini.