Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Yale ni maudhuhi tu yaliyoandaliwa na kampuni tofauti na yanapelekwa kwenye TV channel yoyote kuendana na interests za mwenye maudhui na makubaliano na mwenye TV channel hayana mahusiano yoyote na washiriki walio kwenye maudhui na mmiliki wa TV channel.

Ndio biashara za Media zinavyoendeshwa @meningitis
 
Angalia jina la mleta mada. Usitumie nguvu sana kumwelewesha chizi!
 
Yale ni maudhuhi tu yaliyoandaliwa na kampuni tofauti na yanapelekwa kwenye TV channel yoyote kuendana na interests za mwenye maudhui na makubaliano na mwenye TV channel hayana mahusiano yoyote na washiriki walio kwenye maudhui na mmiliki wa TV channel.

Ndio biashara za Media zinavyoendeshwa @meningitis

Akienda 77 kuna banda la ppr naona la pascal mayalla au jerry muro kama sijakosea wameandika pale nje wana record vipindi vya matangazo ya biashara na wanayarusha kwenye tv kama 5 hivi so hapo kazi ya kurusha ni btn ppr na kituo wala si ya mrekodiwa.
 
Ni pigo sana kwa msanii kukubali kutumikia tumbo na kuacha kusimamia anachokamini.

Tumbo lilimuondoa kwa Mengi na sasa tumbo limemrudisha kwa Mengi.
 
Akienda 77 kuna banda la ppr naona la pascal mayalla au jerry muro kama sijakosea wameandika pale nje wana record vipindi vya matangazo ya biashara na wanayarusha kwenye tv kama 5 hivi so hapo kazi ya kurusha ni btn ppr na kituo wala si ya mrekodiwa.
Kwa hiyo mrekodiwa hujui wala hutaki kujua utarushwa kwenye TV gani!
Ha ha ha!by the way TMT show sio tangazo la biashara.
 
Akienda 77 kuna banda la ppr naona la pascal mayalla au jerry muro kama sijakosea wameandika pale nje wana record vipindi vya matangazo ya biashara na wanayarusha kwenye tv kama 5 hivi so hapo kazi ya kurusha ni btn ppr na kituo wala si ya mrekodiwa.
Sidhani kama ataelewa ana kichwa mawe.

Ni vibaya kujifanya unajua kumbe hujui na unajifanya kama hujui ili usolve so.
sa jamaa ameshaelimishwa lakini hataki kukubali kuwa hayuko sawa ili tuone kama alidhamiria kumbe ni kweli haya mambo hakuwa anayaelewa

. namshauri maisha ni darasa sio lazima ujue kila kitu lakini usijifanye muchknow wakati hujui kitu.
 
Tanzania kweli ina watu wenye vichwa vya wendawazimu. Mtu kama wewe unashabikia bifu badala ya kufurahia amani.

Kuwa kichaa siyo lazima utembee ukiokota makopo hata mawazo kama yako hutolewa na vichaa kama wewe
lazima angerudi tu awezi kushindana na mengi kwani mengi mtu mwenye pesa sana wao njaa zao ndio ziliwapereka pale ,pia mengi kama alikuwa na bifu na masanja na sio joti,joti na yule mzee wako poa sana ila masanja kajiona kakuwa vilevile toka waondoke itv umeona kama yule mzee kapungukiwa ndio kwanza utajiri umezidi! Napenda kuwaambia acheni njaaaa mara uko uku mara kule kesho unaludi lazima tukutupie post kama hizi
 
Wabongo hatupendi kuona watu wanaelewana,sijui kwa nini.
 
sasa mlitaka awe kwenye tbc? Acheni majungu maisha ni popote hata ukikosea.
 
lazima angerudi tu awezi kushindana na mengi kwani mengi mtu mwenye pesa sana wao njaa zao ndio ziliwapereka pale ,pia mengi kama alikuwa na bifu na masanja na sio joti,joti na yule mzee wako poa sana ila masanja kajiona kakuwa vilevile toka waondoke itv umeona kama yule mzee kapungukiwa ndio kwanza utajiri umezidi! Napenda kuwaambia acheni njaaaa mara uko uku mara kule kesho unaludi lazima tukutupie post kama hizi

Kwani masanja nae kapungukiwa au na yeye utajiri umezidi?
 
katika ulimwengu wa leo hamna cha ajabu hapo. wale wote ni wafanyabiasharan angalia kinachoendelea kwenye biashara ya soka. mtoa mada open up your mind.
 
Mkuu hawa vijana waliondoka kwa mbwembwe sana EATV na walikuwa na kejeli nyingi sana dhidi yake wakasahau kuwa ...iko siku!

Mbona mtu kama Millard Ayo kaondoka ITV kiustaarabu sana,kina Abdalah Majura.

Hata kina Monalisa,richie na lulu walienda kwenye greener pastures bila kejeli kwani walitambua mchango wa Mengi kupitia ITV na leo hii wakitokea kwenye runinga ya ITV huwezi sema wamelamba matapishi yao.
 
Duuh kweli watu wanachuki zao !! Mbona mnamuonea Joti wivu kiasi hicho? Mengi katulia nyie mwawashwa na nini? poor thinking capacity
 
Back
Top Bottom