Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

TMT inamilikiwa na PROINS PROMOTION COMPANY, wanaproduce kipindi na wanaweza kukirusha tv yoyote, wao wamechagua kukirusha EATV, ni kama Minibuzz mwanzo walikuwa wanarusha Eatv sasa hivi wanakirusha Startv so hapa huwezi sema ni cha Eatv, kama hawakitaki kipindi kisa yupo Joti basi ni simple, wao Proins wanakiuza kwenye Tv station ingine, hata tangazo la blueband wao Itv na subs zake wakisema hawalitaki kisa yupo Joti ni simple, linapelekwa tv zingine waendelee ku-make pesa wao wabaki na conflict za interest zao.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
sijui umesimuliwa na nani pole sana.mana ungetazama mwenyewe wala usingeandika mbototo kama hizi.JOTI ANA MUVI YAKE INASIMAMIWA NA ILE KAMPUNI.MTANGAZAJ MWENZAKE LULU ELZABETH MICHAEL MUV YAKE YA FOOLISH AGE INASIMAMIWA NA ILE KAMPUNI.Majaji RICHIE na MONALISA wote wanasimamiwa hapo naTMT.Sasa hawa wote wapo chn ya mengi.Si kpnd cha ITV ni cha TMT
 
Dogo pale yupo ktk mkataba na wenye kipindi na siyo kama karudi itv,hata hivyo akirudi itv siyo dhambi kwani anatafuta maisha

Ndio kulamba matapishi huko!kwa mburula wa kitanzania kama wewe na wenzio hapo juu na chini mnaona sawa tu kwa joti kutokea ITV!
 
sijui umesimuliwa na nani pole sana.mana ungetazama mwenyewe wala usingeandika mbototo kama hizi.JOTI ANA MUVI YAKE INASIMAMIWA NA ILE KAMPUNI.MTANGAZAJ MWENZAKE LULU ELZABETH MICHAEL MUV YAKE YA FOOLISH AGE INASIMAMIWA NA ILE KAMPUNI.Majaji RICHIE na MONALISA wote wanasimamiwa hapo naTMT.Sasa hawa wote wapo chn ya mengi.Si kpnd cha ITV ni cha TMT
Joti ana uwezo wa kuiambia kampuni ya prions kwamba sitakiwi kuonekana kwenye media za Mengi.....kilichomshinda ni kipi kama aliweza kumtosa Mengi kipindi kile tena kisheria?

Dogo kalamba na kuyakausha matapishi yake...kufulia si mchezo ati!
 
Sioni tatizo kwani wenye kipindi wanatangaza kupitia itv na ndyo wanaomlipa joti na itv wanaolipa hapo bado hajuani nao
 
JOTI ile kampuni inamsimamia kwa filamu kwa project kama ile atashndwaje kuonekana.its like jot akatae tangazo la tigo aache kula pesa et kisa itv wataonyesha. we unajua mkataba joti unamtaka nini.

ORIJIN COMEDY wote wanajiweza kimaisha mwambie mengi akatae kurusha TMT JOT S YUPO MULE.MENGI katulia mwenyewe anakula pesa za kpnd za TMT we unapga kelele.jot aache kula TMT kisa ITV
 
Sioni tatizo kwani wenye kipindi wanatangaza kupitia itv na ndyo wanaomlipa joti na itv wanaolipa hapo bado hajuani nao
Joti anajua fika kuwa kachemka kukubali kurushwa katika hiko kipindi.

Isitoshe kama umemuangalia kwa makini katika kipindi hicho cha TMT utamuona ni mtu mwenye soni na asiyejiamini kulinganisha na Lulu.
 
mmiliki ni nani?
Kuna kampuni nadhani inaitwa Pro entertainment. Orijinal comedy wameingia mkataba kua promoted na hao. Hivyo waweza kuwaona tv station yeyote ile hata nje ya nchi.
 
ngoja niende church... hizi mada nyingine hazifai
 
Joti anajua fika kuwa kachemka kukubali kurushwa katika hiko kipindi.

Isitoshe kama umemuangalia kwa makini katika kipindi hicho cha TMT utamuona ni mtu mwenye soni na asiyejiamini kulinganisha na Lulu.

Sio bure joti kuna kitu kakufanyia pole
 
JOTI ile kampuni inamsimamia kwa filamu kwa project kama ile atashndwaje kuonekana.its like jot akatae tangazo la tigo aache kula pesa et kisa itv wataonyesha. we unajua mkataba joti unamtaka nini.ORIJIN COMEDY wote wanajiweza kimaisha mwambie mengi akatae kurusha TMT JOT S YUPO MULE.MENGI katulia mwenyewe anakula pesa za kpnd za TMT we unapga kelele.jot aache kula TMT kisa ITV

Hebu angalia mfano huu wa JF na ----------- forum ndio utaelewa ninachokiongea.

Unataka kuniambia siku kampuni likileta mihela na kuiambia JF waweke matangazo au threads za ----------- forum watakubali kisa fedha tu?

Si ndio itakuwa kulamba matapishi huko?
 
Back
Top Bottom