Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

hii haina maana, kwani ukimtema demu hauruhusiwi hata kumsabahi? Walah think b4 you talk
 
Tofautosha tangazo na kipindi

hapa watu wabishi tu kuelewa.mwanzo mengi alikuwa ni mwajiri wao ila sasa hivi joti ana mkataba na aliyeanzisha hiyo TMT na sio mengi.

joti kaingia mkataba na bosi wake wa TMT na sio mengi.
 
daaaa mtoa maada anaonesha kachoka sana kiakili mpaka ubongo wake umepata moto...
cheki avatar yake........!?
 
Back
Top Bottom