Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

Nimemuona Joti akiwa kwenye kipindi cha kutafuta wasanii wa filamu kinachokwenda kwa jina la TMT na kurushwa na television ya ITV dada wa EATV !

Tanzania kweli ina watu wenye vichwa vya wendawazimu. Mtu kama wewe unashabikia bifu badala ya kufurahia amani.

Kuwa kichaa siyo lazima utembee ukiokota makopo hata mawazo kama yako hutolewa na vichaa kama wewe
 
Minyoo kamba hatari sana ikikupanda kichwani kipindi huna nywele!!
Dogo meningitis tafta juice ya mnangari unywe maradhi yakutoke!
 
Last edited by a moderator:
Samahani ndugu mwandishi naomba utufahamishe maana ya conflicts of interest Kama hutojali huenda kuna jambo kwel hatulijui
''COI is a situation occuring when an individual /organisation is involved in multiple interests one of which could possibly corrupt the motivation''

source:Wikipedia
 
Hebu angalia mfano huu wa JF na ----------- forum ndio utaelewa ninachokiongea.

Unataka kuniambia siku kampuni likileta mihela na kuiambia JF waweke matangazo au threads za ----------- forum watakubali kisa fedha tu?

Si ndio itakuwa kulamba matapishi huko?

wewe ni wa kwenda kufanyiwa vipimo vya akili siyo bure.
 
Joti ana uwezo wa kuiambia kampuni ya prions kwamba sitakiwi kuonekana kwenye media za Mengi.....kilichomshinda ni kipi kama aliweza kumtosa Mengi kipindi kile tena kisheria?

Dogo kalamba na kuyakausha matapishi yake...kufulia si mchezo ati!

Kuna watu mna roho za kutu, siku zote mafanikio ya mtu kwao ni tatizo, mengi mwenyewe anaangalia mapato tu hata hakumbuki, ila fulukudenge meningitis hapati usingizi
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu mna roho za kutu, siku zote mafanikio ya mtu kwao ni tatizo, mengi mwenyewe anaangalia mapato tu hata hakumbuki, ila fulukudenge meningitis hapati usingizi

Hata kama Mengi kasahau,sisi wana jamii hatusahau!

Namsubiri Joti akaigize ile session ya 'kafuliaaaaa'
 
Last edited by a moderator:
Namshauri joti na huyo meneja wake waipeleke hii show ya TMT TBCCM.
Baada ya kuona TBC imesuswa na watu bwana mdogo karudi kwa Mengi.
 
Joti anajua fika kuwa kachemka kukubali kurushwa katika hiko kipindi.

Isitoshe kama umemuangalia kwa makini katika kipindi hicho cha TMT utamuona ni mtu mwenye soni na asiyejiamini kulinganisha na Lulu.

Hata mi nilimwona kuwa hayupo comfortable nikajiulza why na ameshazoea ku appear kwenye tv kumbe ni zile mambo hadi lulu kamfunika hafu.hapendezi hana swaga usitukane mamba kabla hujavuka mto ni shidaaa
 
Kwa hiyo Tanzania Movie Talent ni tangazo?

Tanzania Movie Talent si tangazo bali ni shindano linalo-produciwa na proins company ltd ila kile kipindi chao kinachorushwa ITV ni tangazo maana proins wanalipa itv ili ile show iende kwa hewa! kwa kifupi joti hana direct connection yeyote na mengi pale na joti amelamba shavu la proins swala la kurusha tv gani joti haimuhusu kwani proins wanaangalia maslahi yao coverage/cost ya urushaji.
 
Think out of the box braza..usiongozwe na chuki ambazo hazina maana
 
Hata mi nilimwona kuwa hayupo comfortable nikajiulza why na ameshazoea ku appear kwenye tv kumbe ni zile mambo hadi lulu kamfuna hafu.hapendezi hana swaga usitukane mamba kabla hujavuka mto ni shidaaa
Yaani alibaki kuhamisha viganja kwenye mic tu!
 
Watu wanaangalia maslahi zaidi.
 
Think out of the box braza..usiongozwe na chuki ambazo hazina maana

Sio chuki mkuu!hawa madogo na wasanii ni chanzo nchii kurudi nyuma!
Wao wanafikiria matumbo yao tu!

Alinyea kambi sana vs Ipp media na Mengi haya sasa leo kiko wapi?Na bado msala ni pale TBCCM warakapomchoka.
 
Joti ana uwezo wa kuiambia kampuni ya prions kwamba sitakiwi kuonekana kwenye media za Mengi.....kilichomshinda ni kipi kama aliweza kumtosa Mengi kipindi kile tena kisheria?

Dogo kalamba na kuyakausha matapishi yake...kufulia si mchezo ati!

Hivi Mengi na Joti nani wa kumtosa mwenzie.
 
Back
Top Bottom