Joshua Nassary ataka Kamati za Zitto na Mrema kuvunjwa pia!

Hata ile kuimba Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote nimeshindwa!
-Serikali imeoza kwa rushwa na ufisadi;
-Mahakama inanuka kwa rushwa;
-Bunge letu lote pamoja na WAPINZANI waliomo limeoza kwa rushwa na ufisadi.
Tunakimbilia wapi? UAMSHO kama ule wa nchi za Kiarabu linaweza kuwa suluhisho? Tunaanzia wapi?
 
Joshua kutaka yeye kama yeye kwa chuki na wivu wake kutaka hizo kamati zi vunjwe ni sawa kabisa.
Ilaje?utaimbii nini jamii au ni sababu gani unaeza ipa jamii ya hizo kamati kuvunjwa au kwa ushahidi upi
yakinifu hadi hizo kamati zi vunjwe?

Embu acheni kukurupuka kwa mambo msiyo ya jua.
 
Bravo Joshua Nassari,

Ni kweli kabisa ule usemi wa Mbunge 1 wa CDM=Wabunge 10 wa CCM unajidhihirisha!
Mhe.Nassari ni dogo janja ambaye ameingia juzi tu Bungeni lakini michango yake inaonekana wazi. Kwa CDM hiki ni kitu cha kawaida sana kwa Wabunge wake kutoa michango na hoja zenye mashiko.
CDM saafi sanaaaaaaaaaaaa!
Hapo sijakuelewa, huyo Mbunge kamchana Mbunge mwenzake wa CDM ww unashangilia ni sawa na shoka linashangilia kuikata miti porini huku limewekwa mpini wa mti. Matokeo yake unafikiri ni CCM kuparaganyika au CDM, Hizo Kamati zote wenyeviti wake ni Wapinzani, waliozoea kuishambulia CCM wezi, sasa leo mtajua dogo kawasha moto km ule wa Arusha kudai Nchi ya kaskazini leo wanamwangusha mwenzao.
 
CDM kuweni makini katika kuchukua hatua za kinidhamu na kutoa matamko, naona huu ni kama mtego ili msambaratike na mnyukane ninyi kwa ninyi. hebu ona hii movie just a week ago zitto atangaza nia kigoma kugombea urais kabla ya time ,next week kahusishwa na rushwa ,nia mkurupuke mumfukuze then mpoteze muda kujibishana hoja na kutoa siri za chama badala ya kuendeleza operatio sangarao
 
hii sijaielewa kidogo Nasari ndo huyu alisema Kigoma watatoa RAisi? na ndo huyu anataka tena yule wa Kigoma nae afukuzwe uenyekiti? Nisaidieni kidogo
 
LET US DISCUSS ISSUES AND NOT NAMES what zito does is what makes him..."good will shine him whilst wrongs wil perish hm
 
Back
Top Bottom