Joshua Nassary ataka Kamati za Zitto na Mrema kuvunjwa pia!

kamati zote zivunjwe hata ile ya kusimamia fedha ya mzee cheyo...alikua wapi mbona hakuweza kusimamia fedha zinazopelekwa kwenye mashirika ya umma na zinachezewa...kamati zivunjwe bunge livunjwe Rais ajiuzulu kue na uchaguzi tuanze upya
 
Back
Top Bottom