wilchuma
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,102
- 333
ongezea na neno "kwa ajili ya lumumba tu" sisi wenye akili zetu timamu hatuwezi pokea hii ! Ipo low sana! Mwenzako alitukana li giant kalamba ukuu wa wilaya! Mchafue wasira sasa na wewe tukufikirie viti maalumu
Ahahaha mkuu hiyo doz uliyompa inamtosha
POWER TO THE PEOPLE