Joshua Nassari apata aibu mbele ya John D. Pallangyo

Kama si changamoto za mbunge huyo fisadi angetoa mifuko 100 .hiyo sec ilikuwepo miaka mingi na Pallanjo alikuwepo nini walifanya. Ili wasiwe na aibu. Tumejipanga tunapiga kura upinzani ili mlete izo escrow
 
Hahahaa...Huyo John Pallangyo anajisumbua. Hajui kilichojificha kwa Wameru kuhusu yeye. Namwonea huruma pesa yake italiwa kama ilivyoliwa ya mwenzake 1995 akaishia kupata pressure, kisukari na mwisho mauti. Chezea Wameru wewe.

Nataadharisha tu
 
Usipotoshe umma Wa watanzania nilikuwepo kumpa joto kamanda John D Pallangyo ndialikwa kama mgeni rasmi na barua ninayo kama ushahidi.

Nasary ametuabisha sana vijana hapa meru kuchangia kiasi hichi kwa nafasi yake kama mbunge na kupitwa mbali na watu Wa kawaida ambao siyo wabunge hawana marupurupu kama yeye
Leta ushahidi acha porojo za kitoto
 
Sijui ni uelewa mdogo ama chuki binafsi maana sioni mamtiki ya kusema mtu kuchangia jambo unapata aibu,anayejua maana ya harambee huwezi kumsikia akisifia kuwa fulani kachangia kitu kumshinda fulani.
Tuache kushadadia vitu ambavyo havitusaidii.
 
Habari za humu nawasalimu sana.

Jana katika shule ya sekondari ya Singisi waliyani hapa arumeru mkoani Arusha kulikuwa na uzinduzi wa ufunguzi Wa madarasa ambapo kampuni ya cement ya Simba ilijenga hayo madarasa kuwawezesha wanafunzi wetu wasome kwa Amani.

Mosi katika uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni kamanda John D Pallangyo Wa Uvccm meru na pia mbunge Wa jimbo hilo mbunge Joshua Nasary alialikwa pia kama wadau Wa maendeleo ndipo Hapo aibu kila mmoja Wa waalikwa walipochangia uzinduzi huo ambapo mbunge Nasary alichangia mifuko 50 ya cement na kamanda John Pallangyo akachangia mifuko 100 na shilingi millioni 5 cash na wananchi kumshangilia kwa kumuita mbunge, mbunge, mbunge mtarajiwa kitendo hicho kilimpa aibu kubwa sana Nasary na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa ya mifuko 50.

My take: Wananchi Wa meru wanatakiwa kufanya mamamuzi magumu mwaka huu kwenye nafasi hii nyeti ya ubunge hapa meru kwa kumuweka mtu sahihi kama John Pallangyo ambaye anaonekana mwenye kupenda maendeleo ya dhati

Nawasilisha
Wewe ulichangia nini?
 
Nasary kazi kununua mashamba makubwa hapa meru hana mpango na wananchi
 
wewe kichwamaji kwelikweli. hii concept kwamba watu wanachagua mbunge ili awaletee maendeleo kwa fedha yake ndio msingi wa kuwaweka mafisadi uongozi. hapo mifuko 100 na mil 5 palangyo anawekeza akipata ni deal tupu kurudisha na kupata faida. kazi ya mbunge kama anavyofanya nasari ni kuwakilisha watu wake bungeni na kuhamasisha maendeleo. kwa mbunge mwadilifu kumshindanisha kwa njia hiyo hapo ni sawa na kumpigia debe fisadi.
 
Nasary ana uadilifu upi huu Wa kuhongwa shamba hekari 5 kule doli estate, na kuhongwa gari aina ya harrier na wazungu ndio unaiya uadilifu

Acheni kutudanganya wananchi hakuna msafi chadema
 
Ndio mchango Wangu huu kutoa elimu dhidi ya utapeli Wa nasary meru humu jf.
Una swali jingine kuntu.
Bora ya huyo aliyechangia mifuko 50 ya Saruji - Vipi yule aliwadanganya wanaKigoma kuwa ataigeuza kuwa Dubai?
 
Back
Top Bottom