Joshua Nassari adanganya "live" ITV

Inawezekana hakukurupuka ila source yake ndio haijajulikana bado....hatupaswi kusema mengi ila source nyingine huwa si za kweli.......

Alikuwa anadanganya, hizo za miaka 47 ni kabla yeye hajazaliwa, source zangu hizi hapa, ni nani wa kuzipinga:

UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?

Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDP's Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.

According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.

Source: Tanzania

Ndio hizi hapa data zenyewe:

zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 
kwa kweli, amedanganjya umma wa watanzania, swali ni kwanini? watanzania wengi kuanzia na viongozi wake hawana taarifa wakati, hawana uptodate info.

Hawana sifa ya kupenda kujisomea, kupata info mpya especially demographic ambazo ziko zinachange kila wakati, sasa ni ushauri kwa wote.

V
iongozi na wananchi tupende kujisomea, kupata elimu wakati, kwa viongozi wa siasa na wengine wakumbuke kwamba maelezo wanayotoa kwa majukwaa yana influence kubwa either kudumisha au kuendeleza, wawe makini na data walizo nazo.
 
Kutoa data za Uongo kwa Mbunge kwenye vyombo vya habari si jambo dogo hususan jambo lenyewe linahusiana na maisha na maamuzi ya kila siku ya kila mmoja wetu, unaona jambo dogo?

Wacheni kutetea Ubaguzi wa Ujinga.
 
Hiyo si kudanganya, ni kwamba hakujua au hana taarifa sahihi na ambayo ni current.
 
Usiende nje ya mada, kama unataka kikwete aombe radhi anzisha uzi mwingine, hapa tunaangalia Dogo katoa wapi data za miaka 47 , kama unazo leta hapa....

Kumbe tunabishana na SIYOI,
 
Wewe onyesha chanzo chako wacha porojo, sisi tunaweka chanzo kilichotangazwa waziwazi mbele ya waandishi wa habari, hizo takwimu zako na za Nassari za miaka ya utawala wa Nyerere ambayo pengine wewe wala yeye mlikuwa hamjazaliwa:

UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?

Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDP's Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.

According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.

Source: Tanzania

Ndio hizi hapa data zenyewe:

zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 
Kama Nasari amedanganya basi Na wewe waweza kuambiwa umedanganya. kwa sababu life expectancy at birth Tanzania 2012 kwa wastani ni miaka 53
 
umekutana nayo wapi si ulete ushahidi hapa tusiongee juu juu tu,
 
hata dogo likiachwa linakua kubwa, kwa hiyo yote yanatakiwa kukemewa hakuna cha dogo wala kubwa
 
Hii thread zomba na wenzake waliwasiliana kwanza.
 
Last edited by a moderator:
hata dogo likiachwa linakua kubwa, kwa hiyo yote yanatakiwa kukemewa hakuna cha dogo wala kubwa..
.....[/QUOUTE

Hayo mnayoyapuuza ni ya muhimu zaidi na wala hamtaki kuyagusia zikiletwa Thread zinayaongelea
hayo huwezi kuona jina la Zomba wala Zanta.
 
Kila mtu au taasisi inaweza kuja na data zake kutokana na research walivyofanya,mfano kama mie life expe ya mt naweza kusema ni 42 maana naona watu wengi hawamalizi 42 wanakufa na sample space yangu ipo na nimefanya sehemu nyingi.Iweje useme mie nimekudanganya?

Au wewe unataka data za wapi? basi hata CIA kwa data za sorce yako ni waongo maana wao wanasema ni 53 wastani,huoni kama na wewe umetudanganya kwa kusema 58?
 
Joshua Nasari kadanganya,
Wewe pia umedanganya,
Hata mimi nitadanganya pia,
Akija binadamu yoyote kwenye hili atadanganya tu.

Life Expectancy ya ukweli isiyodanganya anaijua Mungu.
 
tatizo lako umejaa uccm hivi serkali ya ccm inapowaambia wananchi data za kukua kwa uchumi wanazielewa? Umaskini uliojaa unawafanya watanzania walio wengi wasifike miaka walau 50. Sasa wewe pinga kuwa Nassari hayuko sahihi
 
Hayo mnayoyapuuza ni ya muhimu zaidi na wala hamtaki kuyagusia zikiletwa Thread zinayaongelea
hayo huwezi kuona jina la Zomba wala Zanta.

Shida yako unafikiri kua mtu akiongea ukweli humu ni CCM, tafuta thread zangu mi popote kwenye ukweli nasema tu sina chama humu! kwani Juzi hukuona nilivyokua napingana na Zomba kuhusu Fao la kujitoa?
 
tatizo lako umejaa uccm hivi serkali ya ccm inapowaambia wananchi data za kukua kwa uchumi wanazielewa? Umaskini uliojaa unawafanya watanzania walio wengi wasifike miaka walau 50. Sasa wewe pinga kuwa Nassari hayuko sahihi

Wewe onyesha chanzo chako kinachoonyesha miaka 47 wacha porojo, sisi tunaweka chanzo kilichotangazwa waziwazi mbele ya waandishi wa habari, hizo takwimu za Nassari za miaka ya utawala wa Nyerere ambayo pengine wewe wala yeye mlikuwa hamjazaliwa:

UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?

Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDP's Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY

By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.

According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.

Source: Tanzania

Ndio hizi hapa data zenyewe:

zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…