MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Mh napita tu wapendwa
Kamsaidie kumsemea wewe.Ni kweli domo lake ni bubu, yaani anashindwa kusema nao hata wale walioko ndani ya chama? Mbona wako wengi tu na nina uhakika hawawezi kumkataa?
Mkuu heshima yako. Una hoja lakini ungeacha matusi hoja inaweza kufika bila matusi kama neno ma........ Ni ukweli usiopingika kwamba ukiamua kuwa public figure basi kila kitu chako kinakuwa subject to public scrutiny. Ndio maana huko nyuma tulikuwa hatunywi na viongozi, wao walikuwa na club zao ili hata kama wakifanya uchafu uwe unajulikana kwa wao tu. Hivyo basi hili sakata la Josephine na Dr limefanyika publicly na public ina haki ya kuliuliza na kulijua kwa kuwa Dr. Slaa ni public figure. Mimi nikichikua mke wa mtu hakuna atakayesumbuka na mimi lakini akitokea mtu maarufu akafanya hivyo inakuwa news. Pia nikukumbushe kwamba Dr. Slaa alikuwa Padre na siyo mchungaji. Padre akishapata sakramenti ya upadrisho hawezi kupata sakrament ya ndoa vivyo hivyo mtu awaye yote akishapata sakramenti ya ndoa hawezi kipata sakramenti ya upadrisho. Hivyo basi kwa imani za kanisa katoliki Padre Slaa hawezi kuoa ndoa takatifu.
Lakini atakua mtoto wa rais teyariDah! Umenipatia kweli. Umejuaje? Namhurumia mtoto huyu kwa kuwa atakapokuwa darasa la saba, Dr Slaa atakuwa na miaka zaidi ya 80.
Kwa maana hiyo anaruhusiwa kuvunja AMRI ya sita kwa kila mwanamke amtake kwa kuwa hana mipaka?
Alitaka tumpe Urais kumbe ni mwizi wa wake za watu!
Kumbe Josephine hajawahi hata kupewa talaka na Bw.Mahimbo?
kwa kiswahili fasaha huu ni ufuska uliokubuhu.
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
napita .....
Dah! Umenipatia kweli. Umejuaje? Namhurumia mtoto huyu kwa kuwa atakapokuwa darasa la saba, Dr Slaa atakuwa na miaka zaidi ya 80.