Joseph Warioba atengwa Rasmi

Kuwa makini kutukana tukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako
Mi mwenyewe mama nakuzaa huku nakimbia, ebu tuliza akili we kijana mjinga, uwe unawaza mbali, sio unawaza 1 second ahead, usie na akili
 
Mi mwenyewe mama nakuzaa huku nakimbia, ebu tuliza akili we kijana mjinga, uwe unawaza mbali, sio unawaza 1 second ahead, usie na akili
Unatafuta kibenten ? Nichukue
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa🥺🥺🥺🤔
Thubutu wangepoteana sasa hivi hayupo wanaogopa kwa sababu nguvu ya ushawishi bado ipo vichwani mwa wengi.
 
Hoja yako ni nini...?

By the way, kumbe wewe ni mzee?

Mbona sasa una shout hovyo na kumtukana mtoa hoja (kijana) bila sababu? Busara za uzee wako ziko wapi...?

Okay. Let's assume kuwa, hakuna wa kumtenga na hajatengwa, kwanini leo hakuwepo pale unadhani? Je, mlimwalika lakini hakuja mwenyewe...?

Wazee wa siku hizi (dizaini ya Jakaya Mrisho Kikwete) mko hovyo sana, mmejaa tamaa za uzeeni lakini hekima na busara hakuna..!
 
Unaweza kukuta wewe ndiye unatangulia mbele, na wala huna lolote la watu kukumbuka kwayo.
Mzee Warioba kisha weka alama isiyoweza kufutika, na bado...
Wapi nimemtaja Warioba wewe mpuuzi wewe?
 
Oil chafu haichafuki, jaribu na wewe uone kama hata jina lako litatajwa mtaa wa pili unapoishi ngumbaru mkubwa wewe
Siasa yenye amani ina raha zake inaibuka mikwaruzo ya kila aina lakini ukifika usiku kila mtu anaingia kitanda na kulala.
 
Mzimu wa magufuli umesanuka unataka no reform no election umejua kuwa magufuli aliuawa na sasa wauaji lazima waungue kwa laana
JPM alikufa natural death. Moyo ukiwekewa betri ni vigumu mtu kuishi miaka mingi. Kuna wakati alikuwa analewa pombe usiku, matatizo aliyokuwa nayo akayaongezea taabu nyingine.

Kikwete akiwa na zaidi ya miaka 70 anafanya mazoezi ya kutembea , jogging na anakula vizuri. Mwinyi alizoea kutembea kule baharini alipokuwa ikulu na baada ya kustaafu akaendelea kujitunza, kaaga dunia na miaka 98.
 
Instagram na facebook zinaanika ujinga mwingi wa watoto wa miaka ya 90 na 2000.
 

Nafikiri Warioba kutengwa kwake ni faida kuliko hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…