Joseph Warioba atengwa Rasmi

Joseph Warioba atengwa Rasmi

Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga. Acha wamtange. Nao watatengwa.
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Hapana.
Wangekuwa na uwezo wangemnyonga moja kwa moja.

Mzee Warioba kajiwekea heshima ya kipekee sana itakayo kumbukwa miaka na miaka. Kwani si unaona mwenyewe; hayo maigizo ya August wewe unadhani yanatokana na nini?

La muhimu tu sasa ni kuvurumusha kwa nguvu zote "No REFORM, NO ELECTION". Hili pekee ndilo wanalolielewa vizuri hawa mashetani.
 
Mzee Warioba akiwa AG miaka ya 80 mwanzoni ndio tulikula sana ugali wa yanga, tukapanga foleni za maduka ya kaya. Kinamama wakavaa sana vitenge vya kupika.

Miaka ile baada ya vita ya Kagera kumalizika tulikuwa na rhumba la kufa mtu huko mitaani.
Sasa hapa unataka watu waelewe kitu gani hasa unachokilenga wewe!

Kulikuwa na maajabu gani. Kuna mTanzania aliyekufa njaa?
Hebu piga picha; hali hiyo ingjitokeza wakati huu wa Samia na GENGE lenu, waTanzania wangekuwa katika hali ya namna gani!
Wakati hata sasa mnataffuta njia za kuwauza na kuwafanya watwana; hali yao ingekuwaje waTanzania hao?
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Si kweli. Warioba kajitenga mwenyewe. Angalia historia yake. Mosi,ni Waziri Mkuu pekee sliyeeahinkufukuzwsvkazi kwa uzembe na kutowajibika. Alifukuzwa na Rais Mwinyi mwaka 1986 akaitwa Malecela kutoka Ubaloxini London ndiye akawa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais. Pili, snsitwa Jaji Warioba lakini actually hajawahibkuwa Jaji su hata Halimu
Tatu, kwenye Tume ya Warioba aliharibu kwa kupendekeza Serkali 3 kwa shinikuzo la CHADEMA na CUF waliotaka Serkali 3 ili Muungano ufe. Aidha,apendekezo mengine ya Tume Ya Warioba ni mambo meeengo ya tunu huku akijua tunu siyo jambo la Muungano na kwamba hapakuwa na Serkali ya Tanganyika kupitisha hizo tunu. Disgruntled and frustrated akawa ni mpigadebe wa CHADEMA kulipiza kisasi.
 
Havunji Bunge leo. Mara haji leo maana mpaka sasa hajaja. Mara Mzee Warioba hajaalikwa utafikiri Mzee Malecela na Makamu wa Rais Mpango umewaona hapo! Au nao hawajaalikwa sio?
Sasa tueleze wewe unayejuwa sababu za wao kutokuwepo hapo.
Sisi tutasema kuwa hawakutaka wenyewe kuwa sehemu ya uchafu unaoendelea chini ya Samia na GENGE lake.
 
Ukiwa na akili timamu ya kupigania maslahi ya taifa lako wanakutenga.
Wao wanataka kula leo leo...CCM ni kundi la ma nzige
 
Wambague wasimbague, haijalishi atabaki kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu na kati ya wazee wenye busara zao, waliobaki, wapigania haki na sheria kwa nchi hii. Mzee wa watu yuko mioyoni mwa Watanzania wengi, tunamuombea maisha marefu, aje aione Tanzania inayotakiwa kuwa.

Walishamfanyia visa vyote, kupigwa kibao na yule mwenye domo kama nyama ya nyongeza. Mtoto wake Kipi (ex shemeji) kufanyiwa mizengwe. Haijamkatisha tamaa kutetea Wananchi, angeweza akae ale mafao yake kwa raha zake, ila Mzee wa watu siyo mbinafsi, kajitoa kwaajili ya nchi hii. So hilo la kualikwa ni dogo sana anaheshima kubwa kwa wengi.
Mzee Warioba sasa hivi kajijengea heshima kubwa sana, ambayo asingeweza kuipata katika nafasi zake za uwaziri mkuu.
Acha vumbi hili lipite, na heshima yake itajidhihirisha katika historia ya nchi hii.
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Nyerere angekuwa hai angewakemea CHADEMA kwa kuleta uzanzibari na uzanzibara.
 
Si kweli. Warioba kajitenga mwenyewe. Angalia historia yake. Mosi,ni Waziri Mkuu pekee sliyeeahinkufukuzwsvkazi kwa uzembe na kutowajibika. Alifukuzwa na Rais Mwinyi mwaka 1986 akaitwa Malecela kutoka Ubaloxini London ndiye akawa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais. Pili, snsitwa Jaji Warioba lakini actually hajawahibkuwa Jaji su hata Halimu
Tatu, kwenye Tume ya Warioba aliharibu kwa kupendekeza Serkali 3 kwa shinikuzo la CHADEMA na CUF waliotaka Serkali 3 ili Muungano ufe. Aidha,apendekezo mengine ya Tume Ya Warioba ni mambo meeengo ya tunu huku akijua tunu siyo jambo la Muungano na kwamba hapakuwa na Serkali ya Tanganyika kupitisha hizo tunu. Disgruntled and frustrated akawa ni mpigadebe wa CHADEMA kulipiza kisasi.
Mapendekezo ya serikali 3 yalikuwa ya Chadema na CUF au yalikuwa ya wananchi?
 
Back
Top Bottom