Joseph Warioba atengwa Rasmi

Joseph Warioba atengwa Rasmi

Mzee Warioba wanamlipaga posho tamu tamu za milioni tano kila anapohudhuria vikao vyenye sura za wanaharakati vyenye lengo la kuichafua serikali ya awamu ya sita.
Ni kawaida wazee wa Mara kupiga spana, ndio maana Mzee Warioba na mzee Butiku wamenyooka sana hata Mzee Nyerere alipoona mambo hayaendi alikuwa hapindishi maneno. Mwenyezi Mungu awabariki wazee wa mkoa wa Mara.
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Hv we hunaga aibu? Jinsi yako ni ipi, km ni mwanaume huna marinda. We unaishi na Warioba? Una uhakika hajapewa mwaliko? Mbn msenge hivyo?
 
Hii nchi imejifia tu hakuna mtu wa maana utamuona apo kwenye ilo Bonanza

Hapo huwezi kuona maasikofu wa RC, Butiku au Warioba

Mpaka mkuu wa majeshi kagoma kuja ndio ujue tulipofikia Sasa!!

Hawa mafisadi watamwaga damu nyingi Sana kuachia madaraka
Lione hili mbwa? Ndio maana mnadharaulika
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Umemwona Malecela? Una kiherehere utafikiri una nyege mkunduni
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Kifuwatacho ITV....... picha hili ni zaidi ya like la cia na mossad... marehem hakufi
 
Ili uwe mwanachama wa Chadema inatakiwa uwe na kipaji kikubwa cha kulalamika na kutengeneza nongwa
ili uwe mwanachama wa ibirisi ccm yapaswa uwe na kipaji cha utekaji uchakachuaji, Uonevu na mbonu za kuwabambikia watu kesi za uongo
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
ibirisi wa ccm wapo mahututi kisiasa Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unaenda kutimia ccm itakuwa kama KANU ya kenya
 
..walaumu Raisi, na Waziri wa Fedha na Uchumi, wa wakati huo tulipo-experience ugumu wa maisha.

..pia usisahau kwamba Warioba ndio alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Raisi kipindi tulipofanya marekebisho makubwa ya uchumi ktk awamu ya kwanza ya utawala wa Rais Mwinyi.
Muungano ufe Tanganyika idai Uhuru wake
 
Katika Mawaziri Wakuu Wastaafu walioalikwa kwenye Kongamano la kuhitimisha shughuli za Bunge huko Dodoma, Jina la Warioba halimo.

Sababu za Mzee Warioba kutengwa zinafahamika, ni kwa vile yuko upande wa Wananchi, akipigania Demokrasia.

Lakini kwa vile Wananchi wako Pamoja na Warioba basi hana haja ya kuogopa na wala hakuna atakayemtisha.

Hii ni kwa sababu Wenye Nchi ni Wananchi.

View attachment 3385996

Taarifa zingine zinaeleza kwamba kwa hali ya sasa ya ccm ya ubinafsi hata Nyerere angekuwa hai angetengwa
Warioba na Butiku walishakengeuka kama alivyokengeuka Kingunge Ngombalemale wakati wa uhai wake. Tofauti yake hawa wawili ni wanafiki kwani walitakuwa kuwa walishajiondoa rasimu ccm na kujiunga na chadema kama alivyofanya Kingunge. Wao hawataki kujiondoa ccm hivyo dawa yao ni kuwatenga.
 
Kwann waondoke ccm?
 
Back
Top Bottom